Mzee Chapuuka
Member
- Apr 21, 2017
- 97
- 243
Habarini wana jukwaa
Niende moja Kwa moja kwenye mada husika
Jamani Mimi nna mpenzi wangu anajua mapenzi vizuri Tu Ila nakerwa na aina ya denda analonipa
Kwa nijuavyo mimi denda linahusisha kunyonyana ndimi Kwa asilimia kubwa ,lakini Kwa huyu demu wangu imekua tofauti yeye ananipa Sana mate mpaka kero
Natamani kumwambia aache kunimiminia mate Kwa maana hilo sio denda linalofaa ila naona kama ataona nimedharau hivi
Nishaurini wakuu nimwambie au niendelee kukata kiu Kwa mate yake pindi tuwako kwenye 6X6??