Nakereka na aina hii ya denda

Nakereka na aina hii ya denda

Paka pilipili mdomoni kwako kabla hujamla denda ili na wewe utoe mate mengi ummiminie iwe ngoma droo
 
andika bango ukabandike chumbani kwako likiwa na maelezo haya.."sitaki unavyonimiminia mate mpenzi..hilo sio denda"hapo atakuuliza nani kaandika nawe ufaidi nafasi ya kujitetea
Don255 like this
 
Hahahaaaaaaaaaaa, imebidi nicheke, Eti "ananimiminia mate"
Sasa nawe unakuwa umetega tu mdomo amimine????
 
ebu mlete kwangu nimpe darasa moja atakuwa fundi tu
 
Back
Top Bottom