Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

MB Mbwana

New Member
Mar 2, 2021
4
45
Mikono inakufa ganzi pia?
Hapana! inapotoka hiyo misuli ambayo sio ya kawaida, nahisi tu maumivu yani, kama vile yani hiyo misuli inazidiwa na damu mfano wake. Na inakuwa hivyo ninapotembea ikiwa inaning'inia, lakini haifi ganzi nahisi tu maumivu.!
 

mtu wa maji

New Member
Jul 15, 2020
2
20
Hi doctor,ikitokea mtu alikuwa na tatizo la genital warts,akatumia podophylln cream lakini kwa kutokujua ikamuunguza kwenye scrotum kwa sababu alipaka dawa nyingi ,nini tiba yake?
 

pirate

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
608
500
Doctor sijajua Kama umelijib Hili swali, Ila mke wangu anasumbuliwa Sana na tumbo la hedhi/period na hasa zile siku za mwanzon, je kuna dawa gani ambazo zitamsaidia kuepuka ilo tatizo maana uwa likimshika awezi kufanya kitu chochote siku nzima.

Ahsante.
 

Rwekaxa Autonomy

Senior Member
Apr 6, 2021
142
250
Una tatizo la superficial folliculitis(razor bumps),hali hii inatokea bacteria wanapoingia kwenye hair follicles na kusababisha inflammation.Tiba zipo tofauti kutokana na kama una muwasho tu au una infection pia.Usafi ni muhimu,safisha hilo eneo na maji vuguvugu pamoja na antibacterial soap mara mbili kwa siku na kausha kwa taulo safi.Kama vipele vinawasha unaweza kutumia hydrocortisone cream. Mwanzoni inashauriwa usinyoe kwa miezi mitatu .Ikisha Epuka kunyoa kwa kinyozi na mashine za kuchangia,nunua mashine yako binafsi ambayo utatumia wewe tu.
Asnte mkuu be blessed
 

Gorgeousmimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
9,310
2,000
Doctor sijajua Kama umelijib Hili swali, Ila mke wangu anasumbuliwa Sana na tumbo la hedhi/period na hasa zile siku za mwanzon, je kuna dawa gani ambazo zitamsaidia kuepuka ilo tatizo maana uwa likimshika awezi kufanya kitu chochote siku nzima.

Ahsante.
Naproxen 250mg,Initially aanze na 500mg 1st day(2*250mg),ikisha 250 mg every 6-8hrs,Maksimum dosage ni 1250mg(5*250mg) per day.
 

Zogoo da khama

JF-Expert Member
May 20, 2013
599
1,000
Dr, toka juzi najisikia hali ya ubaridi, mwilini mwangu, sina maleria hali niliyonayo na mtu mwenye homa kali shida nini nitumie dawa gani?
 

project planner

JF-Expert Member
Jul 8, 2019
963
1,000
Msaada doctor nimeugua uti kwa miaka saba sasa ila natokwa na ute mweupe kwenye uume hivi nimetumia dawa zote azuma cipro doxy sijapona nimechoma mpka sindano ya panadul sijapona sasa hivi nikimwaga shawaha zangu zinavutika kama kamasi hizi sio kama zamani vile vile napata maumivu ya maungio ya mgongo msaada doctor
 

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
14,071
2,000
Msaada doctor nimeugua uti kwa miaka saba sasa ila natokwa na ute mweupe kwenye uume hivi nimetumia dawa zote azuma cipro doxy sijapona nimechoma mpka sindano ya panadul sijapona sasa hivi nikimwaga shawaha zangu zinavutika kama kamasi hizi sio kama zamani vile vile napata maumivu ya maungio ya mgongo msaada doctor
Katafute dawa inaitwa Ceftriaxone Inje choma stat tafuta na AZUMA 6 tabs kunywa od. Usipopona rudi hapa
 

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
14,071
2,000
Dr, toka juzi najisikia hali ya ubaridi, mwilini mwangu, sina maleria hali niliyonayo na mtu mwenye homa kali shida nini nitumie dawa gani?
Sio kila homa ni malaria unaweza ukawa na Homa inasababishwa na blood infection au UTI hata typhoid. Kama unaweza kupima ni vizuri au tumia antibiotic incase just chukua Azuma.
 

Capital G

JF-Expert Member
Jul 2, 2017
1,473
2,000
Habari dokta, nina tatizo la makovu hasa mikononi niliwahi kuugua tetekuwanga / surua wkt nipo sekondari, sasa kuna alama za vile vidonda haijawahi kuisha mpaka leo makovu meusi nisaidie dawa dokta, aksante

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 

Zogoo da khama

JF-Expert Member
May 20, 2013
599
1,000
Dr, nakohoa sana dry coughing, mbavu haziumi wala kifua hakiumi nimetumia Benylin dry cough lakini bado, kuna airflesher nimeweka kwenye gari nahisi ndo chanzo, nifanyeje nakosa amani kabisa wapi naweza kupima allergy?
 

orturoo

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
2,081
2,000
Doctor habari kuna mtoto anasumbuliwa na allergy sijajua ni vumbi au baridi ila zaidi akilala bila kujifunika au kukanyaga sakafu akiwa peku anatoa sauti ya kukwaruza kama vile Mafua yanamsumbua au koo linamuwasha je nini tiba yake?
 

mpndz

Member
Sep 28, 2011
34
95
Nami nichukue fursa kukushukuru na kukupongeza Dr. kwa kuendelea kutuelimisha juu ya matumizi sahihi ya dawa na tiba kwa maradhi tofauti tofauti na wana JF wote kwa ujumla.

Binafsi ningeomba kuuliza juu ya hali ya kuwa kama umeungua kijisehemu, kinywani upande wa juu yaan mahali panapotazamana na mgongo wa ulimi.
Tatizo hili sababu yake yaweza kuwa ni nini na yepi matibabu yake?

IMG_20210723_231317_912.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom