Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Una tatizo la superficial folliculitis(razor bumps),hali hii inatokea bacteria wanapoingia kwenye hair follicles na kusababisha inflammation.Tiba zipo tofauti kutokana na kama una muwasho tu au una infection pia.Usafi ni muhimu,safisha hilo eneo na maji vuguvugu pamoja na antibacterial soap mara mbili kwa siku na kausha kwa taulo safi.Kama vipele vinawasha unaweza kutumia hydrocortisone cream. Mwanzoni inashauriwa usinyoe kwa miezi mitatu .Ikisha Epuka kunyoa kwa kinyozi na mashine za kuchangia,nunua mashine yako binafsi ambayo utatumia wewe tu.
Asnte mkuu be blessed
 
Doctor sijajua Kama umelijib Hili swali, Ila mke wangu anasumbuliwa Sana na tumbo la hedhi/period na hasa zile siku za mwanzon, je kuna dawa gani ambazo zitamsaidia kuepuka ilo tatizo maana uwa likimshika awezi kufanya kitu chochote siku nzima.

Ahsante.
Naproxen 250mg,Initially aanze na 500mg 1st day(2*250mg),ikisha 250 mg every 6-8hrs,Maksimum dosage ni 1250mg(5*250mg) per day.
 
Dr, toka juzi najisikia hali ya ubaridi, mwilini mwangu, sina maleria hali niliyonayo na mtu mwenye homa kali shida nini nitumie dawa gani?
 
Msaada doctor nimeugua uti kwa miaka saba sasa ila natokwa na ute mweupe kwenye uume hivi nimetumia dawa zote azuma cipro doxy sijapona nimechoma mpka sindano ya panadul sijapona sasa hivi nikimwaga shawaha zangu zinavutika kama kamasi hizi sio kama zamani vile vile napata maumivu ya maungio ya mgongo msaada doctor
 
Katafute dawa inaitwa Ceftriaxone Inje choma stat tafuta na AZUMA 6 tabs kunywa od. Usipopona rudi hapa
 
Dr, toka juzi najisikia hali ya ubaridi, mwilini mwangu, sina maleria hali niliyonayo na mtu mwenye homa kali shida nini nitumie dawa gani?
Sio kila homa ni malaria unaweza ukawa na Homa inasababishwa na blood infection au UTI hata typhoid. Kama unaweza kupima ni vizuri au tumia antibiotic incase just chukua Azuma.
 
Habari dokta, nina tatizo la makovu hasa mikononi niliwahi kuugua tetekuwanga / surua wkt nipo sekondari, sasa kuna alama za vile vidonda haijawahi kuisha mpaka leo makovu meusi nisaidie dawa dokta, aksante

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Dr, nakohoa sana dry coughing, mbavu haziumi wala kifua hakiumi nimetumia Benylin dry cough lakini bado, kuna airflesher nimeweka kwenye gari nahisi ndo chanzo, nifanyeje nakosa amani kabisa wapi naweza kupima allergy?
 
Doctor habari kuna mtoto anasumbuliwa na allergy sijajua ni vumbi au baridi ila zaidi akilala bila kujifunika au kukanyaga sakafu akiwa peku anatoa sauti ya kukwaruza kama vile Mafua yanamsumbua au koo linamuwasha je nini tiba yake?
 
Nami nichukue fursa kukushukuru na kukupongeza Dr. kwa kuendelea kutuelimisha juu ya matumizi sahihi ya dawa na tiba kwa maradhi tofauti tofauti na wana JF wote kwa ujumla.

Binafsi ningeomba kuuliza juu ya hali ya kuwa kama umeungua kijisehemu, kinywani upande wa juu yaan mahali panapotazamana na mgongo wa ulimi.
Tatizo hili sababu yake yaweza kuwa ni nini na yepi matibabu yake?

IMG_20210723_231317_912.jpg
 
View attachment 1865152
Aisee ni inaweza sababishwa na alleg au bacterial so we pata antibiotics kama ampiclox dozi nzima utapona kabisa

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Mtoto wangu alizaliwa kabla ya muda alopaswa kuzaliwa. Madaktari walisema yupo sawa hana shida yoyote. Tulikaa hospitali kwa wiki tatu tukaruhusiwa kurudi nyumbani. Awali alikua sawa kabisa na ukuaji wake upo vizuri Sana na sio rahisi mtu kujua Kama alizaliwa njiti ukimwona sasa. Ila baada ya kufikisha miezi minne alianza kukohoa kikohozi kikavu, mwanzoni tulidhani ni kawaida tukaenda hospitali akapewa syrup za kikohozi kikawa kinapoa na baada ya muda kinarudi palepale. Sasa ana miaka miwili na miezi mitano, tumeenda hospitali kubwa Hadi ultera sound zimefanyika wanasema hakuna tatizo. Anaongea, Ni mchangamfu Sana na hana shida nyingine yoyote isipokua hiki kikohozi kikavu na kisichopona. Tumeshapewa dawa nyingi lakini hajawahi pona akaacha kabisa kukohoa.
Hii inaweza kuwa Ni shida gani na nifanye Nini mwanangu awe aondokane na shida hii.
 
Habar doctor naomba msaada ninatatizo lachembe moyo kuuma nalinamuda sasa nimehangaika sijapata dawa inayo nifaa naomba Tiba yake kama unayo
 
Back
Top Bottom