Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

mkuu pole sana na kazi ya kujibu maswali yetu by the way mi nlikuwa mhanga wa Pleural Effusion lakini nkahangaika mahospitalini nkaona hakuna linalonisaidia coz hospitali walifikia hatua ya kunipa dawa za kifua kikuu bila ya kukiona kifua kikuu nkagoma zile dawa na kuamua kutumia dawa za kienyeji within one week nlikuwa nmepona kabsa. Baada ya pasaka naanza kujisikia dalili kama zile lakini hizi za sasa hivi kidogo zinatofautiana na zile coz hizi sijisikii kama kuna maji ila napata wakati mgumu kuhema na huwa nakohoa nkilala chali na maumivu nayasikia kifuani.
Naomba Ushauri tatizo limerudi tena nini???

Thank u in Advance
 
Kapime korona!
 
Natanguliza na salamu na kuwapa pole kwa miangaiko ya siku naomba kujua dawa nzuri ya kutumia absorption ya chakula kwa mwili iko chini sana kama ya mafuta
 
Hellow,
Ningekushauri uende ukachekiwe nini kinachosababisha absorption ya chakula mwilini kuwa chini.
Kuna uwezekano una mapungufu ya enzymes kutoka kwenye pancreas ya kumetabolize chakula,vilevile kuna uwezekano una matatizo kwenye nyongo(hii ndo inayohusika na mafuta)...
 
Duodenal ulcer imegoma kupona dokta nimetumia ppi aina zote, nimetumia triple therapy zaidi ya mara nne ila bado napata maumivu upande wa kulia chini kidogo ya rib cage..nikitembea haraka maumivu nikikimbia ndo naharibu.. Kazi ngumu siwezi..
 
HABARI ZA MAJUKUMU WAPENDWA!

Nasumbuliwa na fangasi sehem za Siri na zimeshambulia Kwa Kasi kubwa Sana taklibani mwaka sasa tangu zinisumbue mpaka sasa nimetumia dawa karibia Aina zote na bado Hali inazidi kuwa mbaya zaidi.

Naomba kufahamu ni dawa gani Bora ambayo naweza kutumia na hatimae kupata suruhu?
 
Hello Mbwa dume,kama umejaribu dawa za tube hazijakusaidia unapaswa kuongea na daktari wa ngozi utumie dawa za meza zinazoenda kwenye system yote mwilini.Au unaweza kutumia tretinoin-klindamycin topical ointmen(ZALNA GEL)kabla ya kula hizo dawa.
Dawa nilizokugusia za kumeza ni aidha lymecyclin 300mg/tertracyclin 250 mg lakini treatment inakuwa ya muda mrefu kama miezi 6 au isotretinoin.Ukiwa unatumia hizo systemic treatment unaweza kutumia dawa ya kupaka pia inayofanya kazi locally kama EPIDUO GEL(Mchanganyiko wa adapalen + benzyperoxide)!
Ongea na daktari wa ngozi kabla hujaanza tiba ya dawa hizo nilizoziorodhesha.Ili kupata tiba sahihi ni muhimu ufahamu dawa inavyotumika na consenquences hasa kama ya isotretinoin ina teratogenic effect!
je hakuna sindano badala ya vidonge kwa matibabu ya chunusi maple usoni
 
HABARI ZA MAJUKUMU WAPENDWA!

Nasumbuliwa na fangasi sehem za Siri na zimeshambulia Kwa Kasi kubwa Sana taklibani mwaka sasa tangu zinisumbue mpaka sasa nimetumia dawa karibia Aina zote na bado Hali inazidi kuwa mbaya zaidi.

Naomba kufahamu ni dawa gani Bora ambayo naweza kutumia na hatimae kupata suruhu?
Umetumia dawa gani?
 
Duodenal ulcer imegoma kupona dokta nimetumia ppi aina zote, nimetumia triple therapy zaidi ya mara nne ila bado napata maumivu upande wa kulia chini kidogo ya rib cage..nikitembea haraka maumivu nikikimbia ndo naharibu.. Kazi ngumu siwezi..
Je unapatwa na diarrhoea?
 
je hakuna sindano badala ya vidonge kwa matibabu ya chunusi maple usoni
Inawezekana japo hufanyika 'Locally ' by intrallesional injection.

Mtaalam anachoma vile vipele vya chunusi kimoja baada ya kingine taratibu ( dawa huchanganywa na lidocaine( dawa ganzi) ili kupunguza maumivu na pia hutumia sindano zenye ujazo mdogo saaana,,,,inakadiriwa ujazo wa 0.05ml kwa kila kipele unatosha kabisa kukausha kipele hicho ndan ya siku 2 had tatu)

Procedure hii inahitaji umakini na utafanyiwa ndan ya chumba cha mtaalam wa ngozi kwani inabidi dawa iingie kwenye kipele tu na kwa kiasi kinachotakiwa.

Sambamba na uharaka wa tiba yaani kupona haraka, dawa zitumikazo kwa mfumo huu mara nyingi ni STEROIDS ambazo huenda zikakupa side effects locally.

Mkemia.
 
Steriods can be used for cystic acne only lakini sio normal treatment ya acne wala sio lidocaine either!Chunusi zinasababishwa na bacterias so hizo treatment ni temporary sishauri!
 
Vipi kuhusu inflammatory acne DAKTARI.

Kazi ya lidocaine kwenye mchanganyiko huo ni kumpa client numbness wakati wa treatment.

However, hii practice sio common kwetu Tanzania japo nimeshuhudia imekua ikisaidia wengi huko ughaibuni.

BTW nimefurahi kwa mrejesho wako wa haraka.
 
HABARI ZA MAJUKUMU WAPENDWA!

Nasumbuliwa na fangasi sehem za Siri na zimeshambulia Kwa Kasi kubwa Sana taklibani mwaka sasa tangu zinisumbue mpaka sasa nimetumia dawa karibia Aina zote na bado Hali inazidi kuwa mbaya zaidi.

Naomba kufahamu ni dawa gani Bora ambayo naweza kutumia na hatimae kupata suruhu?
Wakikujibu nitag
 
Back
Top Bottom