Rwekaxa Autonomy
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 460
- 492
Asnte mkuu be blessedUna tatizo la superficial folliculitis(razor bumps),hali hii inatokea bacteria wanapoingia kwenye hair follicles na kusababisha inflammation.Tiba zipo tofauti kutokana na kama una muwasho tu au una infection pia.Usafi ni muhimu,safisha hilo eneo na maji vuguvugu pamoja na antibacterial soap mara mbili kwa siku na kausha kwa taulo safi.Kama vipele vinawasha unaweza kutumia hydrocortisone cream. Mwanzoni inashauriwa usinyoe kwa miezi mitatu .Ikisha Epuka kunyoa kwa kinyozi na mashine za kuchangia,nunua mashine yako binafsi ambayo utatumia wewe tu.