Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,865
Points
1,500
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,865 1,500
Umekuwa too defensive anyway! Labda ethics zinakutaka hivyo!

Nitumie fursa hii pia kukupongeza kwa kuamua kutumia taaluma yako kutoa ushauri wa matumizi sahihi ya dawa. Ni imani yangu pia watatokea na wengine wenye taaluma nyingine ambao wataanzisha miraba yao ya ushauri humu...
Ahsante kwa uelewa wako Horseshoe Arch! Uwe na siku njema!
 
Last edited by a moderator:
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,865
Points
1,500
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,865 1,500
nasumbuliwa na chunusi sugu
nina umri wa miaka 31
nimejaribu kubadiri dawa za tube za kupaka pamoja na sabuni lakn bado chunusi kubwakubwa zinazidi
wengine wanasema labda kuna uchafu kwenye damu!
nimepima vipimo vyote ikiwemo hiv hakuna!
naomba ushauri..
natanguliza shukrani!
Hello Mbwa dume,kama umejaribu dawa za tube hazijakusaidia unapaswa kuongea na daktari wa ngozi utumie dawa za meza zinazoenda kwenye system yote mwilini.Au unaweza kutumia tretinoin-klindamycin topical ointmen(ZALNA GEL)kabla ya kula hizo dawa.
Dawa nilizokugusia za kumeza ni aidha lymecyclin 300mg/tertracyclin 250 mg lakini treatment inakuwa ya muda mrefu kama miezi 6 au isotretinoin.Ukiwa unatumia hizo systemic treatment unaweza kutumia dawa ya kupaka pia inayofanya kazi locally kama EPIDUO GEL(Mchanganyiko wa adapalen + benzyperoxide)!
Ongea na daktari wa ngozi kabla hujaanza tiba ya dawa hizo nilizoziorodhesha.Ili kupata tiba sahihi ni muhimu ufahamu dawa inavyotumika na consenquences hasa kama ya isotretinoin ina teratogenic effect!
 
David Harvey

David Harvey

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Messages
1,782
Points
2,000
David Harvey

David Harvey

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2014
1,782 2,000
Ni madhara gani unaweza kupata Ukifany tendo la ndoa na mwanamke aliye katika siku zake..... Na Kama Kuna madhara nini tiba yake?
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,865
Points
1,500
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,865 1,500
Duphastone naomba jua kazi yake kwa mjamzito??na salbutamol pale anapopewa mtu ambaye mimba inatishia kutoka!!!
Duphastone(Dydorgestrone) inaweza kutumika kusaidia mimba isitoke hasa kwenye 1st trimester.Ina indications nyingi nyingine ukiachia hio kama infertility,premenstrual syndrome,endometriosi namenstrual disorders.

Salbutamol ni selective beta-adrenogenic agonists sijui unamaanisha formulation gani lakini kama ni tablets zinatumika kurelax muscles za womb na zinaweza kutumika kurelax muscles ya njia ya hewa(Bronchi)

Fata matumizi kama ulivyoshauriwa na daktari,lazima amepa uzito fact kwamba mtu ni mjamzito kabla hajaprescribe hio dawa coz kuna precautions pia.
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,865
Points
1,500
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,865 1,500
Nini kazi ya hii dawa ramipril
Mkuu ramipril ni dawa inayotumia kushusha presha au kwa watu wenye matatizo ya moyo(heart failure,au kwa watu waliopatwa na heart attack inatumika kama prophylaxis),inaweza kutumika pia kwa watu wenye matatizo ya mafigo(diabetisk nephropathy).
 
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
17,494
Points
2,000
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
17,494 2,000
Eti diclofenac si dawa nzuri kwa afya...kama ni ndiyo ni ipi mbadala wake!
 
L

limi

Senior Member
Joined
Jun 8, 2013
Messages
126
Points
170
L

limi

Senior Member
Joined Jun 8, 2013
126 170
Duphastone(Dydorgestrone) inaweza kutumika kusaidia mimba isitoke hasa kwenye 1st trimester.Ina indications nyingi nyingine ukiachia hio kama infertility,premenstrual syndrome,endometriosi namenstrual disorders.

Salbutamol ni selective beta-adrenogenic agonists sijui unamaanisha formulation gani lakini kama ni tablets zinatumika kurelax muscles za womb na zinaweza kutumika kurelax muscles ya njia ya hewa(Bronchi)

Fata matumizi kama ulivyoshauriwa na daktari,lazima amepa uzito fact kwamba mtu ni mjamzito kabla hajaprescribe hio dawa coz kuna precautions pia.
tx a lot,salbutamol tablets
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,865
Points
1,500
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,865 1,500
misoprostosol inatumika kwa case gan?
Misoprostosol inatumika kama maintainance dhihidi ya vidonda vya tumbo hasa kwa watu wanaopata treatment ya
NSAID´s(Non-steroid anti-inflammatory drugs) na wana vidonda vya tumbo vilivyosababishwa na NSAID´s.Inaweza kutumika pia kuinduce birth na kama treatment ya kutokwa na dam nyingi baada ya kujifungua,kutoa mimba na kama treatment baada ya spontaneous abortion.
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,853
Points
2,000
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,853 2,000
Kuna tiba tofauti za psoriasis mkuu inategemea una psoriasis ya wapi kichwani,mwilini....
  1. VITAMIN D[SUB]3 [/SUB]ANALOGUES (CALPOSITROL na CALSITRIOL)
  2. ANTRACEN DERIVATIVES(ditranol)
  3. RETIONOIDS(Acitretin)
  4. PUVA-THERAPY
  5. GLUCOCORTIOCOIDS
lakin mbona psoriasis ni viral infection kwenye T-lympocytes ama bacteria infection?
sasa mbona kama hapa bado tutapata ugumu wa kujua tiba ipi itumike kwenye aina gani ya psoriasis?
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,865
Points
1,500
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,865 1,500
Eti diclofenac si dawa nzuri kwa afya...kama ni ndiyo ni ipi mbadala wake!
Diclofenac ni dawa nzuri sana kwa inflammation and pain.Ipo classified kama NSAID´s(Non-steroid anti-inflammatory drugs) na ni COX- inhibitor.Inainhibit prostaglandin sythesis ambayo husababisha inflammation.Ukitumia kwa muda mrefu inaweza kusababisha vidonda vya tumbo lakini unaweza kutumia pamoja na dawa ya vidonda vya tumbo kama pantoprazol ili kuepuka usivipate.Ila kwa matumizi ya now and then ni nzuri na narudia ina anti-inflammatory effect ambapo dawa kama paracetamol haina.
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,865
Points
1,500
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,865 1,500
lakin mbona psoriasis ni viral infection kwenye T-lympocytes ama bacteria infection?
sasa mbona kama hapa bado tutapata ugumu wa kujua tiba ipi itumike kwenye aina gani ya psoriasis?
Ingekuwa ni vizuri kama mhusika angefunguka zaidi kuhusu psoriasis inayomkabili na tiba alizopata mwanzo ili apate ushauri yakinifu mimi nimeorodhesha tiba tu zinazoweza kutumika in general lakini ofcoz kuna regime ambayo inatakiwa ifatwe.Kwasababu kuna vidonge na topical treatment.
Psoriasis ni chornic inflammatory skin condition inaweza kusababishwa na betahemolytic streptococcus(bacteria) au hata dawa kama (betareseptorantagonists,lithium au cloroquine),Inaworsen mtu akiwa na stress.
 
babkaju3

babkaju3

Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
92
Points
125
babkaju3

babkaju3

Member
Joined Mar 9, 2015
92 125
Samahani docta...matumiz mabaya ya vidonge vya uzaz wa mpango (kuvinywa vingi 3mpk4) pindi mwanamke anapokuwa uoni siku za zake ni zipi
 
Helper

Helper

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2011
Messages
946
Points
500
Helper

Helper

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2011
946 500
Hellow wapendwa,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!

Karibuni sana..
Nini madhara ya kutumia cetsizen kwa mda mrefu, nimekuwa nikitumia kwa zaidi ya miaka 6 ili inipunguzie mwasho wa ngozi, allegy
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,865
Points
1,500
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,865 1,500
Nini madhara ya kutumia cetsizen kwa mda mrefu, nimekuwa nikitumia kwa zaidi ya miaka 6 ili inipunguzie mwasho wa ngozi, allegy
Hakuna shida mkuu kwa kutumia cetirizin kwa muda mrefu as long as hupati athari zozote za hizo dawa zinazohatarisha uhai wako naamini upo safe kabisa!!
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,865
Points
1,500
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,865 1,500
Samahani docta...matumiz mabaya ya vidonge vya uzaz wa mpango (kuvinywa vingi 3mpk4) pindi mwanamke anapokuwa uoni siku za zake ni zipi
Nimekujibu juu scroll back usome!!
 

Forum statistics

Threads 1,327,023
Members 509,681
Posts 32,243,557
Top