medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,316
- 1,278
Faida za kunywa asali kwa wingi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kuna deodorants zenye aluminium chloride(AlCl[SUB]3[/SUB]).Jaribu kutafuta hio utumie au njia nyingine ni sindano za botox!!
Fafanua mkuu sikio lina tatizo gani??Naomba kujua dawa ya sikio.
Ipo ya kupunguza fear.First choice ni SSRI(selective serotonin reuptake inhibitors)mfano escitalopram, citalopram-effect ya dawa hizi inapatikana baada ya wiki 4-5 na zinaweza kutumika kama preventive treatment au antidepressants kama sarotex(amitriptylin).je kuna dawa yoyote ya kuondoa au kupunguza fear
Hakuna dawa ya kuondoa makovu iko gel yakupunguza ukali wa kovu inaitwa KETO-COLE GEL nayo ni silicon gel lakini sidhani kama inapatikana tanzania, na kuna silicon plaster pia zinakutumika kupunguza ukali wa kovu!Dr. Nin dawa ya kuondoa makovu ya moto,mdogo wang aliungua moto usoni yapata miaka 12 iliyopita
Tumia mouthwash mara mbili kwa siku na safisha ulimi vizuri ukipiga mswaki, kula multi-vitamin tablets.gorgeousmimi
Ni nini tiba ya tatizo la kinywa kutoa harufu? Mswaki unatumia kila baada ya chakula, lakini ndani ya muda mfupi kinywa hutoa harufu kali.
Hii naweza kumsaidia..........
ndugu jose mjasiriamali.........tafuta dawa inaitwa Driclor.........hutajuta..........
Hii naweza kumsaidia..........
ndugu jose mjasiriamali.........tafuta dawa inaitwa Driclor.........hutajuta..........
Fafanua mkuu sikio lina tatizo gani??
Prednisolone tablets,znafanye kazi na side effects zake ni zipi?natanguliza shukran
Pia naomba kujua inapatikana wapi??