Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa


jose mjasiriamali

jose mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2014
Messages
1,655
Points
2,000
jose mjasiriamali

jose mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2014
1,655 2,000
Mkuu niliwahi kusikia kuna dawa za kupunguza excessive under arm sweating, kuna ukweli?kama ni kweli ni dawa gani? Au unashauri nini? Ni excessive ambayo haiwezi kuzuiwa na deodorants, na hakuna harufu yoyote, haichagui baridi wala joto
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,864
Points
1,500
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,864 1,500
nini dawa ya fangas wa koo ambao wako kwa muda mrefu.Na je wanaweza sababisha kupooza kwa mikono na miguu.Na misuli kukaza
Umejaribu tiba gani?Unahitaji tiba ya fluconazol/diflucan.Una Osophageal candidis.
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,686
Points
2,000
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,686 2,000
Ingekuwa ni vizuri kama mhusika angefunguka zaidi kuhusu psoriasis inayomkabili na tiba alizopata mwanzo ili apate ushauri yakinifu mimi nimeorodhesha tiba tu zinazoweza kutumika in general lakini ofcoz kuna regime ambayo inatakiwa ifatwe.Kwasababu kuna vidonge na topical treatment.
Psoriasis ni chornic inflammatory skin condition inaweza kusababishwa na betahemolytic streptococcus(bacteria) au hata dawa kama (betareseptorantagonists,lithium au cloroquine),Inaworsen mtu akiwa na stress.
hapo tumekwenda sawa mumie thanks.
inapendeza kuona mtandaoni tunaweka mijadala kama hii inatufanya tupate elimu ya kutosha kwa njia bora zaid
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,864
Points
1,500
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,864 1,500
Mkuu niliwahi kusikia kuna dawa za kupunguza excessive under arm sweating, kuna ukweli?kama ni kweli ni dawa gani? Au unashauri nini? Ni excessive ambayo haiwezi kuzuiwa na deodorants, na hakuna harufu yoyote, haichagui baridi wala joto
Ndio kuna deodorants zenye aluminium chloride(AlCl[SUB]3[/SUB]).Jaribu kutafuta hio utumie au njia nyingine ni sindano za botox!!
 
Super Handsome

Super Handsome

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Messages
3,665
Points
2,000
Super Handsome

Super Handsome

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2013
3,665 2,000
Nini dawa ama Gel sahihi kwa genital warts?
 
jose mjasiriamali

jose mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2014
Messages
1,655
Points
2,000
jose mjasiriamali

jose mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2014
1,655 2,000
Sindano za botox zna side effects zipi? Zinapatikana pharmacy za hapa hapa Tanzania?
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,864
Points
1,500
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,864 1,500
Nini dawa ama Gel sahihi kwa genital warts?
Condolyine/Wartec(active ingredient ni podofyllotoxin) na formulation ni liniment!Liniment ni kama suspension yenye sedimentation.Inajitenga inakuwa chini kwahio lazima utikise chupa kila wakati kabla ya matumizi ili kupata homogenous mixture!
 
Zamiluni Zamiluni

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Messages
11,301
Points
2,000
Zamiluni Zamiluni

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2014
11,301 2,000
Fahari kwa JF !!
Dr. gorgeousmimi thankful kwa kujitolea, Niepuke na vyakula/dawa gani zinazoweza trigger uvimbi (tumor) sehemu mbalimbali au popote !!
Ubarikiwe..
 
Last edited by a moderator:
Kipilipili

Kipilipili

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2010
Messages
2,221
Points
2,000
Kipilipili

Kipilipili

JF-Expert Member
Joined May 25, 2010
2,221 2,000
Samahani mkuu sitoweza kujibu swali lako uloliuliza na nina sababu kadhaa nitakazokuainishia kama vielelezo.
 1. Sijui unataka kujua kuhusu lethal injection kwaajili gani na kwa dhamira gani,you could be suicidal na mimi kukujibu naweza kuwa ndo nakupa tiketi ya kujimaliza au wengine wenye dhamira hio kuitekeleza.
 2. Jinsi itakakavyo athiri watu hapa JF doctor,kwasababu kuna watu wa aina tofauti na wenye utawa tofauti wa kufikiri!Utanisameh kwa hilo!
Niko against ACTIVE DEATH so sitojihusisha na suala hilo in any matters!
maadili na uweledi wa kitaaluma!#10000000LIKES
 
M

muke ya muyahudi

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Messages
399
Points
225
M

muke ya muyahudi

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2014
399 225
Prednisolone Tablets,zinafanye kazi na side effects zake ni zipi?

Natanguliza shukrani.
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,864
Points
1,500
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,864 1,500
Dawa ya mba kwenye nywele ni ipi???
suleyman100 mba kwa lugha ya kitaalam ni seborroheic dermatittis inasababisha na fungi(malassezia furfur) tulokuwa nao mwili wakioverproduce.Tiba inayotumika na wengi ni salisylicacid oil 2-5%.Unapaka hayo mafuta kwa muda kisha unatumia kitana kukwangua mba.Au unaweza kutumia anti-fungal shampoo kama (ketoconazale shampoo au selensulphide shampoo).
 
nzalendo

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Messages
7,861
Points
2,000
nzalendo

nzalendo

JF-Expert Member
Joined May 26, 2009
7,861 2,000
Je? kuna dawa gani inayoweza kutibu vijipele kama vichunusi katika ngozi?
zaidi ya ampiclox au kuna dawa gani mbadala wa grisiofulvin?(ya fungus)?
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,864
Points
1,500
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,864 1,500
Fahari kwa JF !!
Dr. gorgeousmimi thankful kwa kujitolea, Niepuke na vyakula/dawa gani zinazoweza trigger uvimbi (tumor) sehemu mbalimbali au popote !!
Ubarikiwe..
Tumor ni mass of tissue,which may be solid or fluid filled.Tumor inaweza kuwa na cancer au bila cancer.Tumor zinatokea cells za mwili zikiwa zinakuwa na kujigawanya bila mpangilio.Kama kuna unbalance kwenye cell growth au matatizo kwenye immune system.
Vitu vinavyoweza kusababisha tumor ni:

 1. Benzene and other chemicals and toxins
 2. Drinking too much alcohol
 3. Environmental toxins, such as certain poisonous mushrooms and a type of poison that can grow on peanut plants (aflatoxins)
 4. Excessive sunlight exposure
 5. Genetic problems
 6. Obesity
 7. Radiation exposure
 8. Viruses
Types of tumors known to be caused by viruses are:

 • (human papillomavirus)
 • (hepatitis B and hepatitis C viruses)
 
tcoal9

tcoal9

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2009
Messages
255
Points
0
tcoal9

tcoal9

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2009
255 0
gorgeousmimi

Ni nini tiba ya tatizo la kinywa kutoa harufu? Mswaki unatumia kila baada ya chakula, lakini ndani ya muda mfupi kinywa hutoa harufu kali.
 
Last edited by a moderator:
David Harvey

David Harvey

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Messages
1,760
Points
2,000
David Harvey

David Harvey

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2014
1,760 2,000
Mkuu georgeousmimi mbona haunijibu swali langu? Naomba unijibu Tafadhari
 
J

jmchimbadhahabu

Senior Member
Joined
Sep 26, 2014
Messages
191
Points
225
J

jmchimbadhahabu

Senior Member
Joined Sep 26, 2014
191 225
Dr. Nin dawa ya kuondoa makovu ya moto,mdogo wang aliungua moto usoni yapata miaka 12 iliyopita
 

Forum statistics

Threads 1,284,020
Members 493,911
Posts 30,809,768
Top