Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

kasindaga14

Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
24
Reaction score
28
Habari docta Mimi nina mzazi wangu anasumbuliwa Sana na tatizo na Hernia nilipompeleka kupata matibabu siku ambayo anatakiwa kufanyiwa upasuaji akupimwa akukutwa na pressure kubwa (BP) ikashindikana ikabidi wampatie dawa Kama wiki moja au mbili hivi atumie halafu arudi Tena lakini Kila wakimpima bado BP unakuwa juu Sana bado wanaendelea kumshauri vyakula vya anavyotumia na kufanya mazoezi na dawa wakampatia nyingne lakin Kila akirud wapi Hali iko vile vile mpka nikakata tamaa nikaamua niache kwanza maana niliishia Ela na gharama kwa wakati huo
Nikajipanga Tena ili niweze kumuhudumia nikaanza kwenda Tena hospital nyingine kwa Mara ya pili akaanza Tena vipimo lakin wakati wanamfanyia vipimo wakagundua kuwa Ana tatizo lingine ambalo ni Tezi dume kwahyo na Ile hospital ilikuwa na uwezo mdogo wakasema niende hospital kubwa kwa tatizo Hilo ili aweze kupatiwa matibabu zaid
Sasa swali langu kwako je Ina maana hapo Sasa anamatatizo mawili kwa wakati mmoja yaani Tezi dume na Hernia?Na Ile BP Kama ni kikwazo kwake kufanyiwa upasuaji itakuaje Sasa ataendelea kuwa hivyo hivyo bila kupatiwa matibabu Tena sababu ya BP kuwa juu ?
Na Tezi dume Kuna mtu ameniambia kuwa Kuna dawa ipo muhimbili anaweza kuipata akatibiwa bila ya kufanyiwa upasuaji ni kweli?
Naleta kwako kwa msaada plze
 
Huko huko Muhimbili wanaweza kudhibiti BP, na hayo mengine yote.
 
Kichwa chako cha habari umeandika maneno ya pumba .Ungeliandika hivi nina uguliwa na mzazi wangu ninataka ushauri wenu wa Tiba. Sio kuandika

(Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa) Mimi nilijuwa wewe ni Doctor kumbe una matatizo na mzee wako anaumwa haya nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kumtibia zmee wako auguwe pole.​

Kichwa chako cha habari umeandika maneno ya pumba .Ungeliandika hivi nina uguliwa na mzazi wangu ninataka ushauri wenu wa Tiba. Sio kuandika

(Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa) Mimi nilijuwa wewe ni Doctor kumbe una matatizo na mzee wako anaumwa haya nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kumtibia zmee wako auguwe​

Back
Top Bottom