Nakaribia kuoa lakini Nimepewa zawadi ya "NGOZI" bure nishaurini hapa

Hahaha wanawake wana upeo wa kunusa mafanikio hujawahi sikiaga. Hapo jichanganye tu atakutegeshea siku yupo kwenye heat ukimkojolea tu umeisha. Atakuvurugia system yote ya maisha na kuoa hutooa tena kwa hizo sekeseke zitakazoibuka. Utajikuta unalea mimba kwa stress.

Unatoa siri ya kambi mkuu
 
Kuweka misimamo ya kutokufanya kabla ya ndoa haimaanishi kuna ulazima m1 kati yenu awe bikra au wote LA HASHA! Je ikiwa Ke aliivunja bikra yake tokana na kazi/mazingira magumu pasipokujua utamuhukumu?

Shtuka uamke na akili zikurudi sawa, pia bikra haihusiani na Mtu kuwa na busara au hekima wala mpango wa Mungu kukutanisha wana ndoa.
Hongera sana bwana harusi to be, ila mi nna swali..mfano mmeshafunga ndoa sasa, ule usiku wa kuzinduana mara unakuta yake haipo au ni oversize kwako utafanyaje? Au utamuachia Mungu?
 
Kwahyo mkuu umetongozwa,na jibu ulilompa ni kuwa "ntakufikiria".... Kumbe wanaume wahivi bado wapo sana.....hongera sana.....maana ingekuwa mm ningeshakula hyo epithelium zamani sana
 
Wanabodi habarini??
Kuna jambo limenitokea hapa sijui kama ni ww ungefanyaje.

Mishe zangu napigia dukani MB,kuna dada mmoja kajenga mazoea sana na mimi kiasi kwamba kama hana kazi hom anakuja dukani tunapiga stori sana. Huyu dada ameonekana kunielewa sana sijajua sababu nipo dukani ama laa.

Kwa muda sasa sijawahi kutongoza mwanamke yeyote hapa sababu:-
1. Naogopa virungu(kufilisiwa)
2. Nina mchumba (akaribia kuoa)
3. Dhambi ya Uasherati (nikifanya ngono bila ndoa)
Visa na mitego mingi navikwepa,juz katika stori kachomekea"hajawahi kufanya mapenzi na men bila kupima" nikamwambia kama mimi nisingekubali kwenda kupima ndio nije kufanya,akaingia mazima na kusema "fanya mpango tukapime mimi na wewe" nikamjib sababu gani?akasema anataka KUNIBARIKIA NGOZI YAKE.

Binafsi nina ugwadu wa toka 2017 sa najiuliza, siwezi kuingia hasara kweli kulingana na sababu za hapo juu??
Naoa mwez wa 8 mke wangu hatodharaulika kweli? Vipi kuhusu dhambi??

Dada mkali lakini ndo ivyo vikwazo nifanyeje???
Asanteni nathamini kila mchango wa kila mtu najua utanijenga kwa namna 1 au ingine.

2017 haija ingia kutu kweli?
 
Kuweka misimamo ya kutokufanya kabla ya ndoa haimaanishi kuna ulazima m1 kati yenu awe bikra au wote LA HASHA! Je ikiwa Ke aliivunja bikra yake tokana na kazi/mazingira magumu pasipokujua utamuhukumu?

Shtuka uamke na akili zikurudi sawa, pia bikra haihusiani na Mtu kuwa na busara au hekima wala mpango wa Mungu kukutanisha wana ndoa.
Swali langu umelielewa lakini mzee baba?
 
Hahaha wanawake wana upeo wa kunusa mafanikio hujawahi sikiaga. Hapo jichanganye tu atakutegeshea siku yupo kwenye heat ukimkojolea tu umeisha. Atakuvurugia system yote ya maisha na kuoa hutooa tena kwa hizo sekeseke zitakazoibuka. Utajikuta unalea mimba kwa stress.
Hebu tulia kwanza.
 
Tatizo unalojifichia ama kusingizia wewe mwenyewe hujalipa uzito. Unatafuta pa kujifichia. Nenda Kapime ili akupe ngoz
 
Swali lako lilijikita ktk kuhalalisha kusex kabla ya ndoa kitu ambacho kwa Mungu ni NO ndiyomaana nikakujibu hivyo.

So ulitaka Mtoa mada afanyaje hasa ikiwa atamkuta Ke hana bikra siku ya kwanza baada ya kufunga ndoa nakati haoi bikra bali anaoa tabia njema?
Mwanamke umeolewa day ya uzinduzi jamaa haifanyi kazi yani zzzzz atafanyaje?
Mwanaume kaoa siku ya uzinduzi haipo yani uwanja tu atafanyaje?
Hayo ndio huwa nawaza majibu sipati, bikra ndio nini inapikiwa ugali au? Mi nmeuliza mengine we waja na story za bikra, na Mimi ni nani hadi nihalalishe sex?
 
Kamwe! Mungu hawezi kukukutanisha na ambacho hujamwomba " MATHAYO 7:9"

Pia Mungu hutuwazia mema wakati ujao kuliko sisi Binadamu tunavyodhania amenena hivyo ktk YEREMIA.

So ukiona unamwomba Mungu mema lkn akili yako ikawa inawaza kutopatikana kwa unayomwomba hapo hauna Roho wa Mungu zaidi ya roho mchafu maana haitupendezi kamwe kumwendea Mungu tunapomwomba kwa kutokuamini atajibu inavyopasa tulichomuomba "WAEBRANIA 11:6"

Mtoa mada kashakwambia kuwa yeye na mchumba wake wamekubaliana kutokujamiiana hadi watapofunga ndoa na wote wanaamini hivyo, nini kinachokutia mashaka ktk makubaliano yao ikiwa wao hawayafikirii kabisa???
Mwanamke umeolewa day ya uzinduzi jamaa haifanyi kazi yani zzzzz atafanyaje?
Mwanaume kaoa siku ya uzinduzi haipo yani uwanja tu atafanyaje?
Hayo ndio huwa nawaza majibu sipati, bikra ndio nini inapikiwa ugali au? Mi nmeuliza mengine we waja na story za bikra, na Mimi ni nani hadi nihalalishe sex?
 
Wew inaonekana n mroho....!!now days wanawake wengi wanatafta pakufia hasa hali ilivyo ngum.....endekeza chupi uone....!!utauza ufuta tu hapo dukani
 
Biashara za duka zina majaribu sana....hapo mwanamke anajua hawezi kukosa chakula...!!wapuuzi wapo kama mbwa....!!wanajua kunusa sehem yenye hela

Back
Top Bottom