Nakaribia kuoa lakini Nimepewa zawadi ya "NGOZI" bure nishaurini hapa

Shetani anataka kukuondoa kwenye reli. Soma habari za kina samson.. hata daudi.. waliangushwa na mwanamke. Shetani hupitia kwa mwanamke ili amuangushe mwanaume kwenye utukufu wa Mungu au kufifisha nyota. Epuka hilo jarib boss
Mkuu nitakutafuta unisaidie haya maandiko kwa sababu kwenye safari yangu ya maisha nimekutana na mitego mingi sana,na sina mazoea ya kutembea na wanawake pia nimefuatiliwa sana sasa sijajua hili suala limekaa vipi.Hususani ulipogusia issue ya kinyota
 
Muombe pesa huyo ili uongezee mzigo dukani kama hana mkatie waya,akikupa ongeza mzigo ila usimtafune hapo atakuheshimu,vinginevyo atasepa kimyakimya
 
Mkuu nitakutafuta unisaidie haya maandiko kwa sababu kwenye safari yangu ya maisha nimekutana na mitego mingi sana,na sina mazoea ya kutembea na wanawake pia nimefuatiliwa sana sasa sijajua hili suala limekaa vipi.Hususani ulipogusia issue ya kinyota
Man amini ninachokwambia. Nyota yako kuwaka au kufifia inategemea na matendo yako na watu unaoingia nao kwenye mahusiano.
Wapo wanawake ambao ukiwa nao nyota yako inazima.. mafanikio huyaoni.. ila wapo ambao ukiwa nao mambo yananyooka(hawa ni wachache).
Most of them huwa wanafifisha nyota..iwe ni uchumi au kazi.. shetani hakuweza kumfuata adam ila ilipitia kwa eva ili kuharib mafanikio yake.
Kaa chonjo mkuu
 
Naamini kabisa usemacho,na ínatokana na kujitenga na Upendo wa Mungu lazima uwe mfuasi wa shetani tu,kifuatacho ni furaha zà muda mfupi lakini gundu ni nyingi sabab hakuna baraka za Mungu
 
Hahaha wanawake wana upeo wa kunusa mafanikio hujawahi sikiaga. Hapo jichanganye tu atakutegeshea siku yupo kwenye heat ukimkojolea tu umeisha. Atakuvurugia system yote ya maisha na kuoa hutooa tena kwa hizo sekeseke zitakazoibuka. Utajikuta unalea mimba kwa stress.
Fulfilled truth
 
Back
Top Bottom