Nakaribia kuoa lakini Nimepewa zawadi ya "NGOZI" bure nishaurini hapa

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,457
Wanabodi habarini??
Kuna jambo limenitokea hapa sijui kama ni ww ungefanyaje.

Mishe zangu napigia dukani MB,kuna dada mmoja kajenga mazoea sana na mimi kiasi kwamba kama hana kazi hom anakuja dukani tunapiga stori sana. Huyu dada ameonekana kunielewa sana sijajua sababu nipo dukani ama laa.

Kwa muda sasa sijawahi kutongoza mwanamke yeyote hapa sababu:-
1. Naogopa virungu(kufilisiwa)
2. Nina mchumba (akaribia kuoa)
3. Dhambi ya Uasherati (nikifanya ngono bila ndoa)
Visa na mitego mingi navikwepa,juz katika stori kachomekea"hajawahi kufanya mapenzi na men bila kupima" nikamwambia kama mimi nisingekubali kwenda kupima ndio nije kufanya,akaingia mazima na kusema "fanya mpango tukapime mimi na wewe" nikamjib sababu gani?akasema anataka KUNIBARIKIA NGOZI YAKE.

Binafsi nina ugwadu wa toka 2017 sa najiuliza, siwezi kuingia hasara kweli kulingana na sababu za hapo juu??
Naoa mwez wa 8 mke wangu hatodharaulika kweli? Vipi kuhusu dhambi??

Dada mkali lakini ndo ivyo vikwazo nifanyeje???
Asanteni nathamini kila mchango wa kila mtu najua utanijenga kwa namna 1 au ingine.
 
Huyo manzi sio kwamba anakupenda, mwenzako yupo mawindoni anatafuta unafuu wa maisha.

Mwanamke anayekuelewa ni huyo unayetaka kufunga nae ndoa. Huyo mwingine anayejifanya kuja dukani kupiga story, havutiwi na wewe, kunona kwa duka ndio kuna mvutia. Ukiwa mvivu wa kufikiri utapata hasara kubwa kwa wakati mmoja... Hasara ya uzinzi, hasara ya kufumaniwa na mpenzi wako, hasara ya duka kufa ukileta mapenzi kwenye kazi wafwaa!
 
Stuka wewe hapo hupendwi wewe limependwa duka hapo.Na ukimpa jiandae kugawa vitu vya bure hapo dukani.
Wanabodi habarini??
Kuna jambo limenitokea hapa sijui kama ni ww ungefanyaje.

Mishe zangu napigia dukani MB,kuna dada mmoja kajenga mazoea sana na mimi kiasi kwamba kama hana kazi hom anakuja dukani tunapiga stori sana. Huyu dada ameonekana kunielewa sana sijajua sababu nipo dukani ama laa.

Kwa muda sasa sijawahi kutongoza mwanamke yeyote hapa sababu:-
1. Naogopa virungu(kufilisiwa)
2. Nina mchumba (akaribia kuoa)
3. Dhambi ya Uasherati (nikifanya ngono bila ndoa)
Visa na mitego mingi navikwepa,juz katika stori kachomekea"hajawahi kufanya mapenzi na men bila kupima" nikamwambia kama mimi nisingekubali kwenda kupima ndio nije kufanya,akaingia mazima na kusema "fanya mpango tukapime mimi na wewe" nikamjib sababu gani?akasema anataka KUNIBARIKIA NGOZI YAKE.

Binafsi nina ugwadu wa toka 2017 sa najiuliza, siwezi kuingia hasara kweli kulingana na sababu za hapo juu??
Naoa mwez wa 8 mke wangu hatodharaulika kweli? Vipi kuhusu dhambi??

Dada mkali lakini ndo ivyo vikwazo nifanyeje???
Asanteni nathamini kila mchango wa kila mtu najua utanijenga kwa namna 1 au ingine.
 
Stuka wewe hapo hupendwi wewe limependwa duka hapo.Na ukimpa jiandae kugawa vitu vya bure hapo dukani.
Wanabodi habarini??
Kuna jambo limenitokea hapa sijui kama ni ww ungefanyaje.

Mishe zangu napigia dukani MB,kuna dada mmoja kajenga mazoea sana na mimi kiasi kwamba kama hana kazi hom anakuja dukani tunapiga stori sana. Huyu dada ameonekana kunielewa sana sijajua sababu nipo dukani ama laa.

Kwa muda sasa sijawahi kutongoza mwanamke yeyote hapa sababu:-
1. Naogopa virungu(kufilisiwa)
2. Nina mchumba (akaribia kuoa)
3. Dhambi ya Uasherati (nikifanya ngono bila ndoa)
Visa na mitego mingi navikwepa,juz katika stori kachomekea"hajawahi kufanya mapenzi na men bila kupima" nikamwambia kama mimi nisingekubali kwenda kupima ndio nije kufanya,akaingia mazima na kusema "fanya mpango tukapime mimi na wewe" nikamjib sababu gani?akasema anataka KUNIBARIKIA NGOZI YAKE.

Binafsi nina ugwadu wa toka 2017 sa najiuliza, siwezi kuingia hasara kweli kulingana na sababu za hapo juu??
Naoa mwez wa 8 mke wangu hatodharaulika kweli? Vipi kuhusu dhambi??

Dada mkali lakini ndo ivyo vikwazo nifanyeje???
Asanteni nathamini kila mchango wa kila mtu najua utanijenga kwa namna 1 au ingine.
 
Hahaha wanawake wana upeo wa kunusa mafanikio hujawahi sikiaga. Hapo jichanganye tu atakutegeshea siku yupo kwenye heat ukimkojolea tu umeisha. Atakuvurugia system yote ya maisha na kuoa hutooa tena kwa hizo sekeseke zitakazoibuka. Utajikuta unalea mimba kwa stress.
 
Back
Top Bottom