Aisee yule demu wako aliyekudanganya ameishia la saba mmemalizanaje sasa?! Tunasubiri mrejesho kule!
Hapo tu ulipo bado hujafa teyari tunakusaidia kulea familia sembuse uje kufa, huwajui wanawake vizuri wewe! We oa then fanya kufumba macho tu!smuoi mimi, nkifa nani atalea familia
Achana na huyo mwanamke atakuuwa kwa stress, penzi lake kwako halipo usilazimishe itakugharimu, kama anamegwa na anajua unafahamu je kukuletea atakuzalia watoto wasio wako.Habarini ndugu na Jamaa mliomo humu, Nina imani na hii forum ya kwamba naweza pata ushauri. Narudia tena nina imani. Wakuu in short Nina mke na tulianza kuishi pamoja mwaka 2011 na tuna watoto watatu. Lakini mapenzi kwa sasa naweza sema yanakwenda mlama wife amekuwa anacheat niligundua mwaka juzi na nikatefa mtego na kufanikiwa kuthibitisha kwa aibu aliamua ni kama uhusiano wetu uishe maana alitamka mbele za watu kwamba hanifaham na akarudi kwa wazazi, Niliwaeleza hali halisi na sikutaka kuachana naye baadae walimshauri akarudi nyumbani na maisha yakaendelea baada ya mwaka mmoja nimegundua anacheat tena na nimethibisha na nimekaa na huyo jamaa kasema waliahidiana kuona kwa sababu wife hana amani kwenye ndoa yake.hivyo ataachana na mimi akaishi na jamaa. Mtoto wa kwanza ana miaka 9 na wa pili wana 1 yr. Ushauri wenu tafadhali.
Habarini ndugu na Jamaa mliomo humu, Nina imani na hii forum ya kwamba naweza pata ushauri. Narudia tena nina imani. Wakuu in short Nina mke na tulianza kuishi pamoja mwaka 2011 na tuna watoto watatu. Lakini mapenzi kwa sasa naweza sema yanakwenda mlama wife amekuwa anacheat niligundua mwaka juzi na nikatefa mtego na kufanikiwa kuthibitisha kwa aibu aliamua ni kama uhusiano wetu uishe maana alitamka mbele za watu kwamba hanifaham na akarudi kwa wazazi, Niliwaeleza hali halisi na sikutaka kuachana naye baadae walimshauri akarudi nyumbani na maisha yakaendelea baada ya mwaka mmoja nimegundua anacheat tena na nimethibisha na nimekaa na huyo jamaa kasema waliahidiana kuona kwa sababu wife hana amani kwenye ndoa yake.hivyo ataachana na mimi akaishi na jamaa. Mtoto wa kwanza ana miaka 9 na wa pili wana 1 yr. Ushauri wenu tafadhali.
Nimewaelewa wakuu,Asanteni. A good way is always a hard way.Nimerudia kusoma mara 3....mimi nikiwa mwanamke sijawahi sikia wala kuona mwanaume wa aina yako. Naomba pokea ushauri ulotolewa juu msije waachia watoto taabu. Pole sana mkuu
3 kids 2 are twins. Hapo ndo kuna changamoto naambiwa twins amani ikitoweka nao wanatoweka.Kwanza mna watoto 3 au 2?
Pili mtu wakike ukishamfumania na amekukana hadharani wewe subiria sumu.....
move on kaka mkubwa huko sio kukata tamaa ni kuchukua maamuzi magumu yeye kwenye akili yake haoni kama anafanya makosa na mapenzi husiha kama maisha amabavo huisha na wala huwezi mzuia kupenda mtu mwingine maana wewe sio mungu kama kaamua kwenda kuolewa muache aende la si hivyo utaendelea kuumia na mwisho mtaishia kubaya ...cha msingi lea wanao maana kama mwanaume ushatimiza wajibu wako hapa duniani yeye kam bado anaona anahitaji kuolewa acha aende tulia tafuta kadogo dogo ka kupunguzia stress achana nayeHabarini ndugu na Jamaa mliomo humu, Nina imani na hii forum ya kwamba naweza pata ushauri. Narudia tena nina imani. Wakuu in short Nina mke na tulianza kuishi pamoja mwaka 2011 na tuna watoto watatu. Lakini mapenzi kwa sasa naweza sema yanakwenda mlama wife amekuwa anacheat niligundua mwaka juzi na nikatefa mtego na kufanikiwa kuthibitisha kwa aibu aliamua ni kama uhusiano wetu uishe maana alitamka mbele za watu kwamba hanifaham na akarudi kwa wazazi, Niliwaeleza hali halisi na sikutaka kuachana naye baadae walimshauri akarudi nyumbani na maisha yakaendelea baada ya mwaka mmoja nimegundua anacheat tena na nimethibisha na nimekaa na huyo jamaa kasema waliahidiana kuona kwa sababu wife hana amani kwenye ndoa yake.hivyo ataachana na mimi akaishi na jamaa. Mtoto wa kwanza ana miaka 9 na wa pili wana 1 yr. Ushauri wenu tafadhali.
Naona kitu humu, Angarau stress zinapungua.move on kaka mkubwa huko sio kukata tamaa ni kuchukua maamuzi magumu yeye kwenye akili yake haoni kama anafanya makosa na mapenzi husiha kama maisha amabavo huisha na wala huwezi mzuia kupenda mtu mwingine maana wewe sio mungu kama kaamua kwenda kuolewa muache aende la si hivyo utaendelea kuumia na mwisho mtaishia kubaya ...cha msingi lea wanao maana kama mwanaume ushatimiza wajibu wako hapa duniani yeye kam bado anaona anahitaji kuolewa acha aende tulia tafuta kadogo dogo ka kupunguzia stress achana naye
Ushauri umeanza vizuri ila hapo mwishoni awe makini tuu. Watoto bado wadogo hao na wakishakosa mapenzi mama baba anatakiwa kusimamia show nzima kuhakikisha wanapata malezi sahihi na upendo.move on kaka mkubwa huko sio kukata tamaa ni kuchukua maamuzi magumu yeye kwenye akili yake haoni kama anafanya makosa na mapenzi husiha kama maisha amabavo huisha na wala huwezi mzuia kupenda mtu mwingine maana wewe sio mungu kama kaamua kwenda kuolewa muache aende la si hivyo utaendelea kuumia na mwisho mtaishia kubaya ...cha msingi lea wanao maana kama mwanaume ushatimiza wajibu wako hapa duniani yeye kam bado anaona anahitaji kuolewa acha aende tulia tafuta kadogo dogo ka kupunguzia stress achana naye
tuliza akili.....3 kids 2 are twins. Hapo ndo kuna changamoto naambiwa twins amani ikitoweka nao wanatoweka.
Mtoto wa kwanza ana miaka 9, wa pili mwaka 1, wa tatu nadhani atakuwa tumboni au ana siku chache tangu kuzaliwa. Kwa hesabu rahisi tu, mlianza kuishi 2011 + umri wa mtoto wa kwanza ni dhahiri kabisa mlianza uzinzi kabla ya ndoa. Sasa huenda hata wewe wakati unakutana nae alikuwa na tabia kama hizo tayari. Sasa huna budi kupambana na hali mkuu.Habarini ndugu na Jamaa mliomo humu, Nina imani na hii forum ya kwamba naweza pata ushauri. Narudia tena nina imani. Wakuu in short Nina mke na tulianza kuishi pamoja mwaka 2011 na tuna watoto watatu. Lakini mapenzi kwa sasa naweza sema yanakwenda mlama wife amekuwa anacheat niligundua mwaka juzi na nikatefa mtego na kufanikiwa kuthibitisha kwa aibu aliamua ni kama uhusiano wetu uishe maana alitamka mbele za watu kwamba hanifaham na akarudi kwa wazazi, Niliwaeleza hali halisi na sikutaka kuachana naye baadae walimshauri akarudi nyumbani na maisha yakaendelea baada ya mwaka mmoja nimegundua anacheat tena na nimethibisha na nimekaa na huyo jamaa kasema waliahidiana kuona kwa sababu wife hana amani kwenye ndoa yake.hivyo ataachana na mimi akaishi na jamaa. Mtoto wa kwanza ana miaka 9 na wa pili wana 1 yr. Ushauri wenu tafadhali.
Hao wa pili ni twinsMtoto wa kwanza ana miaka 9, wa pili mwaka 1, wa tatu nadhani atakuwa tumboni au ana siku chache tangu kuzaliwa. Kwa hesabu rahisi tu, mlianza kuishi 2011 + umri wa mtoto wa kwanza ni dhahiri kabisa mlianza uzinzi kabla ya ndoa. Sasa huenda hata wewe wakati unakutana nae alikuwa na tabia kama hizo tayari. Sasa huna budi kupambana na hali mkuu.