Nakaribia kukata tamaa

Nakaribia kukata tamaa

Hamna mke hapo. Na atakuletea watoto wasio wako kama bado hajafanya hivyo
 
Habarini ndugu na Jamaa mliomo humu, Nina imani na hii forum ya kwamba naweza pata ushauri. Narudia tena nina imani. Wakuu in short Nina mke na tulianza kuishi pamoja mwaka 2011 na tuna watoto watatu. Lakini mapenzi kwa sasa naweza sema yanakwenda mlama wife amekuwa anacheat niligundua mwaka juzi na nikatefa mtego na kufanikiwa kuthibitisha kwa aibu aliamua ni kama uhusiano wetu uishe maana alitamka mbele za watu kwamba hanifaham na akarudi kwa wazazi, Niliwaeleza hali halisi na sikutaka kuachana naye baadae walimshauri akarudi nyumbani na maisha yakaendelea baada ya mwaka mmoja nimegundua anacheat tena na nimethibisha na nimekaa na huyo jamaa kasema waliahidiana kuona kwa sababu wife hana amani kwenye ndoa yake.hivyo ataachana na mimi akaishi na jamaa. Mtoto wa kwanza ana miaka 9 na wa pili wana 1 yr. Ushauri wenu tafadhali.
Mmmh siku hizi hamna wanaumme 'al lijali' wewe ni mwana umme kweli? Duh hata si amini, kwani unawakika kama huyu mtoto wa mwaka moja niwakwako?........nunua gunia mbili za mkaa maliza hilo Dude
 
Kwa kuwa huyo jamaa anae taka kumuoa unaongea nae nadhani uoga wako wa kumfukuza ni kugawana mali mshawishi huyo jamaa amdanganye au amshawishi huyo mwanamke kudai talaka mahakamani ili atakapo idai yeye isiwe rahisi kuja kugawana mali wewe utabaki nazo kwa ajili ya malezi ya watoto
 
Vipi,yeye kakufumania mara ngapi?

Siyo kawaida mwanaume mwaminifu kwa ndoa yake kusamehe issue ya usaliti yaani wewe ndo unaenda tena kubembeleza mrudiane tena mara mbili halafu unaenda ku- negotiate na mgoni wako.

Au yeye ndo anakuweka mjini? Tuambie na mapungufu yako tuone anavyokuvumilia maana inaonekana na wewe una dark side yako nafsi inakusuta kufanya maamuzi.

Sidhani kama you're that innocent!
 
Mungu huwa hakosei kamwe!
Mwanaume ana haki kutoa talaka akimfumania Mkewe
Mwanamke akishatoka nnje ya ndoa tu hawezi kupenda tena kama alivyokuwa akipenda awali sababu huongozwa na hisia tofauti na Mwanaume aongozwaye na akili.
Piga chini haraka Kaka.
 
Vipi,yeye kakufumania mara ngapi?

Siyo kawaida mwanaume mwaminifu kwa ndoa yake kusamehe issue ya usaliti yaani wewe ndo unaenda tena kubembeleza mrudiane tena mara mbili halafu unaenda ku- negotiate na mgoni wako.

Au yeye ndo anakuweka mjini? Tuambie na mapungufu yako tuone anavyokuvumilia maana inaonekana na wewe una dark side yako nafsi inakusuta kufanya maamuzi.

Sidhani kama you're that innocent!
HE IS NOT.
 
Wakuu nimesoma kwa makini ushauri wenu, na nimetafakari kwa kina. Bado kuna jambo moja, hawa watoto wawili ni twins na inasemekana kama nikiwasha moto tuachane wakiwa bado wananyosha nitawapoteza uelewa wenu tafadhari. Kuhusu kugawana i dont care baadhi ya issue nilishaanza fanya secret tangu tukio la kwanza.
 
HE IS NOT.
Miaka ya nyuma mwanzoni i had one, ambaye nilishamdelete na nikamweleza maana alikuwepo kabla yake. Na alielewa na ilikuwa na makubaliano mazuri tu hakuwa na kinyongo
 
Miaka ya nyuma mwanzoni i had one, ambaye nilishamdelete na nikamweleza maana alikuwepo kabla yake. Na alielewa na ilikuwa na makubaliano mazuri tu hakuwa na kinyongo
Kama alikufumania nae au aliona mawasiliano yenu bhasi jua HICHO NDO CHANZO yeye kuchepuka...!! Mwanamke akisema amekusamehe hakika anakuzuga tu hasa kwenye haya mambo ya mahusiano lazima atagongwa na yeye nje tena sio na mtu mmoja tena ukikuta mwanamke mpuuzi kama huyo ndo utakoma. Ushauri achana nae tu mkuu muache aende kama atabeba watoto akawalee kama mama yao uwe unatoa mahitaji sawa na Mkaandikishiane ustawi wa jamii.. Ila kama ni mpuuzi mpaka anaweza kuacha watoto hakuna kinachoshindikana sababu ya mazingira hayo na una hela bhasi watoto watakunywa Lactogen na maisha yataenda. Pole sana mkuu wanawake wanaishi na Vinyongo na visasi sanaa.
 
Hajawahi nifumania na huyo lady niliyesema ni kama hakukubali mimi nioe so alijaribu kupambana tuendelee, na i decrale tuliwahi kumbushia lakini wife hakuwahi hata kuhis na tukaachana hivyo wife wife am sure hana sababu ya kucheat.
 
Brooh kile ulichokivumilia mwanzo, endelea kukivumilia na sasa. Inaonekana una kifua kipana sana
 
Duh yaani mke anakukana mbele ya watu baada ya kukufumania then unaenda kwao kuyasuruhishwa wewe mwenyewe..
Huu sio uvumilivu tu ni undezi
 
Mi ucheat hata mara 1 tu na nikathibitisha sikai nawewe...aibu kukaa na mke unajua kabisa unakula na wahuni
 
Back
Top Bottom