Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,349
- 46,138
Nimemshangaa sana.Jamaa inaonekana ni wale watu wanaoogopa wanajeshi. BTW hapo kuna jinai? Ampe notisi ya miezi mitatu ikiisha atoe vitu vyake nje aweke kofuli. Ashirikishe mamlaka zinazohusika.
Thread closedNenda Makao Makuu ya Jeshi pale Ngome Upanga kawaeleze masaibu yako pale lazima upate msaada,nenda pale na majina yake kamili kuhusu kambi hiyo sio muhimu wao wenyewe watampata ndani ya robo saa tuu.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Hakuna lolote, hajayatimba, hao jamaa umiwashitaki kikosini wanakatwa pesa kwa nguvu.Unajua umeandika kama sisi humu ndio majirani zake huyo afande, sikiliza mdogo wangu, wakati wowote unapopatwa na tatizo lolote jaribu kuwa mtulivu na kama unahitaji ushauri toa maelezo ya kutosha yanayohusiana na msaada unaohitaji, pia usikurupuke kutoa hukumu au kuchukuwa maamuzi kwa kutumia hasira au utashi wako binafsi, unaweza kuwa umeonewa, umedhulumiwa, au vyovyote itakavyokuwa, lakini dunia hii haki pekee haikufanyi uwe na sauti mbele ya mamlaka au sheria, hususan upande huo wa magwanda, kwao wao hakuna sheria za duniani wala za mbinguni zinazofanya kazi, kwahiyo kuwa makini huyo anaweza hata kukunyanganya hiyo nyumba akasema ni yake na mamlaka ikakuweka wewe ndani na kusema ulitaka kumdhulumu, kwa kifupi umeyatimba, nakushauri mvumilie na mpe siku au mwezi kama hajalipa mwambie mimi nyumba nauza, utamuwachia msala huyo atakaekuja kununua, kwa kifupi umeyatimba.
Inaonekana jamaa aliwahi fanyiwa ndivyo sivyo, kwa hiyo ana uoga na kutojiamini.Hakuna lolote, hajayatimba, hao jamaa umiwashitaki kikosini wanakatwa pesa kwa nguvu.
Umeanza vizuri halafu ukapuyanga mwishoni [emoji2].Unajua umeandika kama sisi humu ndio majirani zake huyo afande, sikiliza mdogo wangu, wakati wowote unapopatwa na tatizo lolote jaribu kuwa mtulivu na kama unahitaji ushauri toa maelezo ya kutosha yanayohusiana na msaada unaohitaji, pia usikurupuke kutoa hukumu au kuchukuwa maamuzi kwa kutumia hasira au utashi wako binafsi, unaweza kuwa umeonewa, umedhulumiwa, au vyovyote itakavyokuwa, lakini dunia hii haki pekee haikufanyi uwe na sauti mbele ya mamlaka au sheria, hususan upande huo wa magwanda, kwao wao hakuna sheria za duniani wala za mbinguni zinazofanya kazi, kwahiyo kuwa makini huyo anaweza hata kukunyanganya hiyo nyumba akasema ni yake na mamlaka ikakuweka wewe ndani na kusema ulitaka kumdhulumu, kwa kifupi umeyatimba, nakushauri mvumilie na mpe siku au mwezi kama hajalipa mwambie mimi nyumba nauza, utamuwachia msala huyo atakaekuja kununua, kwa kifupi umeyatimba.
Asante kwa ushauri mkuu.Iyo hela kukupa ni ngumu mpe notice ya mwezi ikiisha kama hajakulipa mtolee vitu nje funga nyumba yako
Ooh nimeelewa mkuu. Pole kwa kuteleza.Ni typing error tu, lengo ni jina /madai.
Kwa mwajiri wake ni rahisi zaidi kupata msaada. Wanasikiliza malalamiko ya raia dhidi ya askari wao.
Polisi ni kisheria zaidi, lakini itawalazimu kuomba ushirikianao wa mwajiri wake.
Its your choice mkuu.
Dah mkuu ASANTE sana. Umenifungua pakubwa.Nenda Makao Makuu ya Jeshi pale Ngome Upanga kawaeleze masaibu yako pale lazima upate msaada,nenda pale na majina yake kamili kuhusu kambi hiyo sio muhimu wao wenyewe watampata ndani ya robo saa tuu.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Mkuu asante sana kwa kuligundua hilo.Wewe ni boya sana acha ujinga na uoga
Nashukuru sana mkuu.Taratibu za kumtoa mpangaji ni zilezile wala hazina tofauti shirikisha uongozi wa mtaa mpe notisi ahame ndani ya miezi mitatu ikiisha miez mitatu toa vitu vyake nje.
Kama una nia ya kuendelea kudai hela yako kamfungulie kesi ya madai mahakamani, mahakama itatoa summons ataenda na utapata haki yako.
Asante sana kwa ushauri mkuu.Katika kada wanazoishi maisha magumu ni wanajeshi.
Hapo ukitoa vitu bila yeye kuwepo una kesi utatengenezewa.
Hivi vikozi vifupi havizidi miezi 4, subiri arudi umtoe kwa kutumia mjumbe au mwanasheria
Migogoro ya ardhi likiwemo hilo la kodi hayapokelewi polisi kwa sababu hiyo sio jinai bali ni shauri la madai hivyo apeleke shauri lake baraza la ardhi na nyumba la wilaya.Ple sana mkuu.
Unaweza kuchukua hatua zifuatazo ili kutatua suala lako.......
Ripoti suala hilo polisi, wape taarifa zote unazozijua kuhusu mwanajeshi huyo, jina lake na maelezo mengine yanayohusiana na suala hilo na mkataba wa upangaji. (mzunguko utakuwa mrefu maana lazima waombe kibari)
Au
Peleka malalamiko yako jeshini(mwajiri wake) Waulize kuhusu mchakato wa kuripoti vitendo vya jinai/ madai vilivyofanywa na mwanajeshi na waulize jinsi wanavyoshughulikia maswala kama hayo. (Kama jina ni sahihi, anapatikana haraka na utalipwa mapema)
Yes.Unajua umeandika kama sisi humu ndio majirani zake huyo afande, sikiliza mdogo wangu, wakati wowote unapopatwa na tatizo lolote jaribu kuwa mtulivu na kama unahitaji ushauri toa maelezo ya kutosha yanayohusiana na msaada unaohitaji, pia usikurupuke kutoa hukumu au kuchukuwa maamuzi kwa kutumia hasira au utashi wako binafsi, unaweza kuwa umeonewa, umedhulumiwa, au vyovyote itakavyokuwa, lakini dunia hii haki pekee haikufanyi uwe na sauti mbele ya mamlaka au sheria, hususan upande huo wa magwanda, kwao wao hakuna sheria za duniani wala za mbinguni zinazofanya kazi, kwahiyo kuwa makini huyo anaweza hata kukunyanganya hiyo nyumba akasema ni yake na mamlaka ikakuweka wewe ndani na kusema ulitaka kumdhulumu, kwa kifupi umeyatimba, nakushauri mvumilie na mpe siku au mwezi kama hajalipa mwambie mimi nyumba nauza, utamuwachia msala huyo atakaekuja kununua, kwa kifupi umeyatimba.
Acha kutisha watu wewe kayatimba yap sheria zipo Na haki itapatikana muhimu yeye kujua cha kufanya akiwa na ushahidi,Unajua umeandika kama sisi humu ndio majirani zake huyo afande, sikiliza mdogo wangu, wakati wowote unapopatwa na tatizo lolote jaribu kuwa mtulivu na kama unahitaji ushauri toa maelezo ya kutosha yanayohusiana na msaada unaohitaji, pia usikurupuke kutoa hukumu au kuchukuwa maamuzi kwa kutumia hasira au utashi wako binafsi, unaweza kuwa umeonewa, umedhulumiwa, au vyovyote itakavyokuwa, lakini dunia hii haki pekee haikufanyi uwe na sauti mbele ya mamlaka au sheria, hususan upande huo wa magwanda, kwao wao hakuna sheria za duniani wala za mbinguni zinazofanya kazi, kwahiyo kuwa makini huyo anaweza hata kukunyanganya hiyo nyumba akasema ni yake na mamlaka ikakuweka wewe ndani na kusema ulitaka kumdhulumu, kwa kifupi umeyatimba, nakushauri mvumilie na mpe siku au mwezi kama hajalipa mwambie mimi nyumba nauza, utamuwachia msala huyo atakaekuja kununua, kwa kifupi umeyatimba.
Mkuu watu kama hao uwa wanajiandaa kusumbuana usikute ni mhaya au mnyaki wewe ukienda kwa mjumbe yeye anaenda baraza la ardhi na nyumba na mauongo kibao na hakuna sehemu yenye urasimu kama huko jambo dogo tu ambalo lingeweza kuisha kwa wiki au wiki mbili linachukua miaka mitano na hata ukija kushinda aambiwe akulipe fidia hana chochote cha kukulipa labda ungesema dawa ya wajinga kama hao ni kuwaroga tu kama kweli huo uchawi upo.Kama hutaki mambo mengi sijui mahakamani ,sijui polisi n.k ...
fanya hivi...
Nenda kwa mjumbe mwambie humtaki huyo mpangaji kwako na sababu ni hii.
hapo atapewa mwezi mmoja au siku kadhaa kama week 2 hivi za kuhama na atahama na
Ikibidi kabisa mtishie huyo mpangaji kwamba utaenda kazini kwake kushitaki kama atagoma kuhama. yaani asipohama huyo labda sijui..