Nakaribia 29 sina mtoto

Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba anafikaje 29 bila mtoto?? Sasa yamenikuta 29 naiona hiyo sina mtoto.Jamani msitukane mamba kabla hamjavuka mto
Twende taratibu.

Sasa una 27, itahitajika miaka 2 ndipo ufike 29.

Sasa wewe mwakani utafikaje 29?
 
Kutokuwa na hela ni jambo moja na kutopokea simu ni jambo lingine. Mimi baby mama wangu wa kwanza nilimzalisha akiwa chuo mwaka wa mwisho IFM, mimi hapo sina mbele wa nyuma, nipo mtaani jobless. Na japokuwa kwao hawakuwahi kunikubali, mimi yule mwanamke tulikuwa tunawasiliana utasema kuna cha maana nachomsaidia mpaka kwao wakatishia kumtimua. Alikuja akaniuliza “Hivi nikitimuliwa hapa, una sehemu pa kuniweka.??” na mnyama confidently nikasema ndio tutaenda kupanga and she was ready maana aliona mnyama napambana na bado mimba haikuwa sababu ya kunifanya mimi nivunje mahusiano yangu na yeye. Vijana wasikimbie majukumu, wapambane na kuwezesha kile kile kidogo kinachowezekana.
Umemuoa?
 
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba anafikaje 29 bila mtoto?? Sasa yamenikuta 29 naiona hiyo sina mtoto.Jamani msitukane mamba kabla hamjavuka mto
Nimeoa nikiwa 39 na nikapata twin Boyz the same year na ndo first borns
 
Back
Top Bottom