Najutia sana kumpoteza huyu mwanamke

Najutia sana kumpoteza huyu mwanamke

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,042
Walimwengu usema thamani ya kitu uonekana pale tu unapo kipoteza au kutoka mbele ya macho yako

Na malipo ya mwenye kiburi ni majuto

Nilimpoteza mwanamke ambaye alikuwa msaada kwangu. Mwanamke ambaye alijua kusimamia nafasi yake vizuri. Mwanamke ambaye alinijali na kuthamini. Kisa umalaya wangu
Nikamuona takataka mbele ya macho yangu

Sasa hivi ameolewa na mimi nimeoa
Lakini nina teswa utafikiri nimepewa limbwata

Kwa hiyo vijana wenzangu ukipata mwanamke anaye kupenda kwa dhati please usijaribu kuachana naye hata mimi nilikuwa kama ninyi eti mwanamke hana chochote mbele ya mwanaume

Siku ukija kupata shetani mmoja ndo utajua kama wewe kichwa cha familia au miguu ya familia

Yaani ujanja wote umepotea
Nime kuwa kama mwanamke ndani ya nyumba nguvu ya kumuacha sina najiona mimi ni mkosaji tu mpaka kuna mda na tamani kujinyonga nife tu

Ushauri wenu huu vijana
 
Walimwengu usema thamani ya kitu uonekana pale tu unapo kipoteza au kutoka mbele ya macho yako

Na malipo ya mwenye kiburi ni majuto

Nilimpoteza mwanamke ambaye alikuwa msaada kwangu
Mwanamke ambaye alijua kusimamia nafasi yake vizuri
Mwanamke ambaye alinijali na kuthamini
Kisa umalaya wangu

Nyakati zinakuja nakusepa, endelea kupambana
 
Moja ya sifa za uwana umme ni kutojutia, ni kuendelea kutafuta alio bora zaidi, mwanaume augopi kuacha mke moja nakutafuta mgine.
 
Nashangaa sana mwanaume anayekubali kuishi kwa kuteswa na mwanamke kisa ndoa.

Kwani ukimuacha huyo mwanamke je,

Utakufa?
Hautaweza kupata mwanamke mwingine?
Hautaweza kupenda tena?
Utakatika mkono?

Wanaume tuacheni ujinga wa kujiliza liza.

Au umeambiwa kwamba hapa duniani kum*a zimeisha kwa hiyo iliyobakia ni hiyo moja tu ya huyo mwanamke anayekutesa, kwa hiyo inabidi uendelee kuibembeleza.
 
...Siku ukija kupata shetani mmoja ndo utajua kama wewe kichwa cha familia au miguu ya familia
🤣🤣🤣
Yaani ujanja wote umepotea
Nime kuwa kama mwanamke ndani ya nyumba nguvu ya kumuacha sina najiona mimi ni mkosaji tu mpaka kuna mda na tamani kujinyonga nife
Amekufanyaje mkuu?
Hata kusepa tu kimyakimya umeshindwa?!
 
Walimwengu usema thamani ya kitu uonekana pale tu unapo kipoteza au kutoka mbele ya macho yako

Na malipo ya mwenye kiburi ni majuto

Nilimpoteza mwanamke ambaye alikuwa msaada kwangu
Mwanamke ambaye alijua kusimamia nafasi yake vizuri
Mwanamke ambaye alinijali na kuthamini
Kisa umalaya wangu
Nikamuona takataka mbele ya macho yangu

Sasa hivi ameolewa na mimi nimeoa
Lakini nina teswa utafikiri nimepewa limbwata

Kwa hiyo vijana wenzangu ukipata mwanamke anaye kupenda kwa dhati please usijaribu kuachana naye hata mimi nilikuwa kama ninyi eti mwanamke hana chochote mbele ya mwanaume
Siku ukija kupata shetani mmoja ndo utajua kama wewe kichwa cha familia au miguu ya familia
Yaani ujanja wote umepotea
Nime kuwa kama mwanamke ndani ya nyumba nguvu ya kumuacha sina najiona mimi ni mkosaji tu mpaka kuna mda na tamani kujinyonga nife tu

Ushauri wenu huu vijana
Kujinyonga sio solution ya matatizo ni ubinafsi na tatizo la akili.
 
Tofauti kubwa kati ya mwanamume na mvulana ni katika kufanya maamuzi magumu yanayoamua mustakabali mzima wa maisha yake......

Mara nyingi wavulana akili zao zimefunikwa na ukoko wa hisia kali na vifungo vya nafsi vilivyoshikana na ukuta wa jela walizozijenga mioyoni mwao......kutokana na akili zao kufunikwa na hisia nzito wanashindwa kuona upande mwingine wa dunia Raha zake......machungu ya kihisia zikiya kiwango chake cha kufanya maamuzi hupelekea kijiua au kujidhuru au kudhuru wengine........

Mwanamume ana uwezo wa kuutawala mwili wake na hisia zake kuziamuru kuenenda kwa utashi wake kwa manufaa yake........kwa maana hiyo mwanamume ana uwezo wa kufanya maamuzi ya kumuacha au kuacha kitu akipendacho hata kama anatumia huku akiitumainia kesho iliyo njema........

Mazingira ya Sasa kwenye jamii zetu yanazalisha wavulana wanaoongezeka miaka na sio akili na upeo........na ndio sababu kuu ya wanawake kudai usawa........
NB
Yule ambaye haikumfaa akili yake..... utamdhuru ujinga wake........
 
Hauko mwenyewe, wengi tushakosea sana katika hili lkn songa mbele.
 
Nimeelewa sana mkuu
 
Tatizo baba ni watoto tayari tuna watoto
 
Pole sana. Huenda hukutambua ukitakacho. Tuepuke tamaa na hisia tutumie akili.
 
Walimwengu usema thamani ya kitu uonekana pale tu unapo kipoteza au kutoka mbele ya macho yako

Na malipo ya mwenye kiburi ni majuto

Nilimpoteza mwanamke ambaye alikuwa msaada kwangu
Mwanamke ambaye alijua kusimamia nafasi yake vizuri
Mwanamke ambaye alinijali na kuthamini
Kisa umalaya wangu
Nikamuona takataka mbele ya macho yangu

Sasa hivi ameolewa na mimi nimeoa
Lakini nina teswa utafikiri nimepewa limbwata

Kwa hiyo vijana wenzangu ukipata mwanamke anaye kupenda kwa dhati please usijaribu kuachana naye hata mimi nilikuwa kama ninyi eti mwanamke hana chochote mbele ya mwanaume
Siku ukija kupata shetani mmoja ndo utajua kama wewe kichwa cha familia au miguu ya familia
Yaani ujanja wote umepotea
Nime kuwa kama mwanamke ndani ya nyumba nguvu ya kumuacha sina najiona mimi ni mkosaji tu mpaka kuna mda na tamani kujinyonga nife tu

Ushauri wenu huu vijana
Hio ni Karma inafanya kazi, huwa ni kama return valve tu. Ukiruhusu mateso kwa mtu jua yatakurudia katika kiwango kile kile au zaidi.
 
Tatizo baba ni watoto tayari tuna watoto
Sasa ni kipi bora ubakie kwenye ndoa yenye mateso yatayopelekea kudhorotesha afya yako na uchumi wako hivyo kufupisha umri wako wa kuishi...au uachane na hiyo ndoa ubakie na uchumi imara na afya njema huku ukielekeza juhudi zako kwenye kuwahudumia watoto wako kwa kipindi kirefu Kwa namna njema mtakayokubaliana na aliyekuwa mkeo......??

Ndoa ni kisiwa Cha furaha na amani kwa watu wawili waliopendana na kuamua kuishi pamoja na sio gereza la mateso.......
 
Back
Top Bottom