Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,534
Ningekuwa mwanaume hakika ningeoa mwanamke anaenipenda na sio ninaempenda.
Tatizo lenu wanaume..mwanamke akikupenda yeye basi ni lazima umsumbue na kumdharau pengine kumuona ni mwanamke mrahisi..kumbe masikini ya Mungu huo urahisi aliuruhusu kwako kwakuwa anakupenda.
Huwezi tambua thamani ya kitu mpka kipotee
Umepata ulichostahili