Hapo shida sio kuoa haraka, shida ni NDOA🤣🤣🤣 Wakiambiwa wasioe hawaelewi,Ni sawa na kununua simu mtaani kariakoo iliyopo ndani ya box na ukalipia bila kufungua box. Unaweza kuta ni simu kweli ila sasa.
Ulioa haraka sana. Shida sio FB, shida ni hukujua unaoa nani.
Kama ww ni mwanandoa basi bado kupaa na ungo tu. 😄Hapo shida sio kuoa haraka, shida ni NDOA🤣🤣🤣 Wakiambiwa wasioe hawaelewi,
na Sisi wanandoa tulivyo na roho mbaya hata hatuwaambiii ukweli, michango tunatoa na miuno tunamwaga siku ya harusi.....
Wee jamaa muongo sana 😂😂🤜🏿🤛🏿Bora hata wewe ulishamuona live, kuna mwamba aliona jiko facebook huko akatongoza wakakubaliana, binti ni mzenji jamaa kavaa kanzu kapeleka mahari...ubwabwa ukaliwa mwezi uliofata ndoa ikafa kibudu.
Yani mbongo akuchangie laki kwenye Jambo la kheri?🤣🤣🤣 Tunatoa michango ya harusi tunajua balaa unalolivaa....afu kifo cha wengi si no harusi bwana🤣🤣🤣Kama ww ni mwanandoa basi bado kupaa na ungo tu. 😄
pole sanaWeek sasa silali
Kumbe hizo ndo hatua tupite mtuoeyani unaoaa bila kupitia uchumba???? bila kula puss wala demu kuja geto apike na kufuaaaaa...itoshe kusema hujitambuii
Bro mbona hakuna shida, mtoto wa kwanza mwite Facebook!Mnamo mwaka X weds nakumbuka nilibahatika kukutana na huyu bint uso kwa uso katika Phase flan katika kutafuta maisha.
Tulipoteana tena kama baada ya mwaka mmoja bila kutongozana kuzoeana wala bila kuongea neno lolote.
Dada huyu alikuwa mzuri kwa Sura na rangi nzuri.
Maisha kusonga tukiwa tumepoteana niko kwa online Facebook ndipo nikamuona tena akiwa na rangi yake nzuri mcheshi kwenye picha dah.
Kutokana na usingle wangu wakitambo nikamtongoza Facebook bhanaa nika mpa ahadi kuwa lazima nitakuoa.
Mwamba nikapata vijicent vyangu vya mahari nikaenda kwao chap nikavuta chombo ndani.
Yaani bila kukaa kwa uchumba live pasipo hata miezi 3.
Ndugu yenu ninayo pitia kwa sasa heeh.
Nikiorodhesha naweza msimalizie hii thread.
Sasa Age 40+ Sijui dah acha tuone
Huna akiliMnamo mwaka X weds nakumbuka nilibahatika kukutana na huyu bint uso kwa uso katika Phase flan katika kutafuta maisha.