asubuhi sana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 1,669
- 1,418
Mhmhmh
jarib kumblock m2 1 halaf ukshamblock hapohapo itakuonyexha unblok yule m2 ukshamwondoa kwny block watakuletea unblock lixt then utaona lixt ya wa2 wote ambao umewah kuwablock ambapo unaweza kuwamake unblock yaan kuwatoa kwny block lixt
ishu za kuleta jf zinatakiwa zitokee wapi kumbe...
Mzee wa Chachandu za Beka, upo?
Nafikiri JF ina wigo mpana sana,haichagui unatatizo la fb au lolote aliyeuliza anataka kujua kama ungekuwa unajibu ungemjibu na sio kumtolea maneno yasio na msingi
Duh! Kumbe mamburula mpo wengi hivi?
soma haya maandishi ya facebook.Duh! Kumbe mamburula mpo wengi hivi?
Lakini watu wanadhangaza isue inahusu FB wewe unaleta JF