Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,049
Daa hasira bana,nilichukizana na mpemzi wangu nikijua hatitaweza kuwa wapenzi,na kwa hasira nilimblock kwenye Fb na mitandao mingine,baada ya mda mfupi tuli-compromise na tukawa wapenzi tenaIle nataka kumu-unblock si nimeshindwa,Je unauzoefu nimunblok.
Nisaidie
Nisaidie