Najuta tamaa mbaya

Najuta tamaa mbaya

kenya wameruhusu kuoa wanawake mpaka kumi! tena bila majadiliano!

sasa sisi tukifanya watano tu jamani tutakosea?

mkuu, wanyweshe Maziwa fresh wote kwa pamoja! dada mtu nae akijilengesha, beba, kula mzigo! -- ujana maji ya moto bana!

we utadhani utakuja kusimulia nini ukizeeka?-- lols!
 
Huyu mchumba wako hatakaa kwa raha tena hapo watamkomeshaje? Hapo umeshaharibu, wewe endelea kuharibu kama ulivyo haribu, mgegede na mama mwenye nyumba yako kufudia kodi yako kisha uhame.
 
Na wewe ni wale wanaopenda magegedo ya bure eti mambo madogooo!! (bana pua unapotamka hii)

hahahaaaa! Haya mkuu nmekusikia. Lakin mm sipo hvyo unavyodhan mm nataka kumsaidia kijana asijeumbuka buree
 
Maziwa fresh utajiskiaje ukijua kuwa girlfriend wako wa ukweli nae ana mpenzi wa pembeni?
na bado anakutaka wewe pia?
 
Last edited by a moderator:
Duuuhh sasa mmaza anaendeleaje kukaa hapo wakati kijana hamthamini? Duuhhh maana hadi anaenda kupokelewa bidada anakaa hapo hapo na analala na kijana daah, hii dunia ngumu sana kuiishi!

huyo kapanga jirani next house na nyumba ya shangazi

dunia ina mengi hii
 
Hama hapo kapange kwingine,,, hiyo kodi itakayopotea ndo gharama ya kuwa myopic,,, na usirudie tena, kuwa na msimamo kama bado upoupo au unajikita na mmoja
 
Back
Top Bottom