Najuta sana

mwanaume rijali kukwepa mtego wa mwanamke tena hasa awe mzuri haijalishi ni mke wa mtu au sio mke wa mtu ni ngumu kukwepa mitego yao alieweza ni yule sijui nani visa vya zaman aliejipaka mavi mwili mzima badae Allah akamjalia jasho lake ni mithili ya manukato mazur san

haya endelea kushusha nondo nimepata siti ya dirishan hapa
 
Tena wahuni wakishajua michezo yake wanamvizia tu kwisha kazi
Mwingine anakuwa nae huyo mzee huko aliko mwingine wakati anamla mke wake huko. Akishamaliza huyu anamtonya yule aje ale na yeye,halafu yule aliemgonga anaenda kumlinda mzee.
Nani amewaambia waoe wake wazuri?. Ona mwezao Nikki maumivu anayopitia kwa mbulu
 
Daaah 🤣🤣🤣
 
Naona mtoa story anatafuta mkongo apake aje kuendlea na stor
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…