Elimu ya tz ni ya kutafta chet tu maaa gata waajiri wa serikal wanatafta watu wenye vyet na sio ujuzi... Mtu ana cpa unamkuta kwenye mapokezi TRANi upotezaji mkubwa sana wa muda kwenda veta.
huwa wanatoka weupe. yaani hakuna wanachokijua. zaidi utaambiwa tu hiki kinaitwa hivi hiki kinaitwa vile.
Kwahyo manake ukilipa ada percent flan unaibiwaSijaona upungufu wa VETA mpaka sasa... kwamba wanafundisha theory? Yes wanafundisha theory, ila ambacho ungetakiwa kufanya ni kuingia kitaa kupata uzoefu sambamba na elimu ya theory... na ndivo elimu ya bongo inatakiwa iwe..
Theory plus practical, kama practical hawatoi VETA kwa mapungufu yao, wewe inatakiwa ujiongeze ukaitafute practical kitaani
Unaenda kukah chuo miak mitatu unasomea mziki na hujui mziki kuimbaUdsm wanatoa digrii ya muziki.. ila hao wahitimu. Hawajui kuimba na wala hawajui hata kupiga chombo chochote cha muziki.
Walimu wao nao hivyo hivyo
Swal muhimShida YAKO ilikuwa ni kupata cheti Ili uajiriwe au kupata ujuzi Ili ujiajiri
Literature?Unaenda kukah chuo miak mitatu unasomea mziki na hujui mziki kuimba
Juz nilisafiri kwa Kaz zangu za udr kwenda kiteto Kuna bint Yuko home pale alimaliza udsm Sasa koz alichosoma Ni ujinga mtupu sijui literature
Bab ake akasema huyu mtot hakushaurikia kwani aliona Ni Bora kuacha kusoma Ila ilimradi tu akosome udsm degree yoyote
Leo Yuko anajifunza ufund cherehani
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu kama hicho Mkuu, hapo ni bila bila uraia sio sheria, labda kwa watu wa utawala au sayansi ya siasaSheria civics,
Jilaumu mwenyewe kwa kuwa kilaza, usiwasingizie Veta...Kabla sijaenda niliomba ushauri kwanza wengine wakaniambia niende maana mafundi wa mtaani wengi ni wachoyo kukupa siri zote za kazi, na wengine wakaniambia nisiende maana hiyo pesa ya ada robo tu unapata fundi anakufundisha vizuri tu.
Llakini nikaona ni bora tu niende veta ila nilichokikuta huko ndugu yangu sikushauri na wewe uende.
Nilienda kusomea ufundi simu hardwire na softwire lakini mpaka namaliza sijui hata kutoa port ya kuchajishia simu, nimekuja kujifunzia huku mtaani na nimejua.
Kule ni kwenda tu kujua majina ya component na matatizo ya simu
Ni veta za serikali lakini.
Shida Yako ilianzia hapo kwenye hardwire na softwireNilienda kusomea ufundi simu hardwire na softwire lakini mpaka namaliza sijui hata kutoa port ya kuchajishia simu, nimekuja kujifunzia huku mtaani na nimejua.
Huo mpunga jobless anaupata kwny betting au? [emoji15][emoji15][emoji15]Unaomba kinyonge.
Mshawishi na mpunga uone kama atakataa
Ndo maana nikamwambia asiwalaumu veta bure kumbe yeye mwenyewe ndo chenga....Shida Yako ilianzia hapo kwenye hardwire na softwire
Hardwire na Softwire [emoji23][emoji23][emoji23]Shida Yako ilianzia hapo kwenye hardwire na softwire
Watu mnavokomment humu kama sio nyie vile. Eti kajifunze mtaani,,,, tukiwafata huuko mtaan mnatuzarau sana/mnatupandishia vioo sana sie tunaoomba kujifunza. Watanzania wanafiki sana.
Utaskia ooooh msimu huu hakuna wateja subir mwakan,, mara oooh mimi hapa sipokei wanafunzi na sababu lukuki.
Unakuja kwa madereva sasa hawa ndio balaa. Nishaongeaga na madereva wa malori,,, kila unaeongea nae anakwambia ntakuunganisha na jamaa fulan mara hapokei smu zako mara nn yaan sababu lukuki.
Hardwire = Hardware, Softwire = Software. Pia upite kwa Ras Simba au British Council... inaonekana Roho yako i radhi ila hicho kiingereza ndo dhaifu.Kabla sijaenda niliomba ushauri kwanza wengine wakaniambia niende maana mafundi wa mtaani wengi ni wachoyo kukupa siri zote za kazi, na wengine wakaniambia nisiende maana hiyo pesa ya ada robo tu unapata fundi anakufundisha vizuri tu.
Llakini nikaona ni bora tu niende veta ila nilichokikuta huko ndugu yangu sikushauri na wewe uende.
Nilienda kusomea ufundi simu hardwire na softwire lakini mpaka namaliza sijui hata kutoa port ya kuchajishia simu, nimekuja kujifunzia huku mtaani na nimejua.
Kule ni kwenda tu kujua majina ya component na matatizo ya simu
Ni veta za serikali lakini.
[emoji1787]jamani ila kuna ukweliHivyo ndivyo digirii nyingi zilivyo pia nchini "Tanzania".