Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,185
Kifupi wewe ni kilaza sio wanaoenda kusoma hufaulu wote
Kichwa kibovuKabla sijaenda niliomba ushauri kwanza wengine wakaniambia niende maana mafundi wa mtaani wengi ni wachoyo kukupa siri zote za kazi, na wengine wakaniambia nisiende maana hiyo pesa ya ada robo tu unapata fundi anakufundisha vizuri tu.
Llakini nikaona ni bora tu niende veta ila nilichokikuta huko ndugu yangu sikushauri na wewe uende.
Nilienda kusomea ufundi simu hardwire na softwire lakini mpaka namaliza sijui hata kutoa port ya kuchajishia simu, nimekuja kujifunzia huku mtaani na nimejua.
Kule ni kwenda tu kujua majina ya component na matatizo ya simu
Ni veta za serikali lakini.
Nimesoma veta kipawa nenda hata leo na uzuri imeenda awamu mbiili ya simu na umeme kwahiyo naelewa na hunidanganyiNadhani lengo la mtoa mada ni kutaka kuichafua VETA.
Mimi nimesoma kozi hiyo na nimetoka vizuri.
Wakati tunaanza tuliambiwa tuwe na mazoea ya kwenda kwa mafundi simu ili kupata uzoefu. Pia huwa wanasisitiza wanafunzi kwenda na simu mbovu kutoka mitaani ili kuzitengeneza na kupata uzoefu.
Kwenye msafara wa mamba na kenge hawakosekani.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Njoo uone kazi ninazozifanyaMtoa mada ni kilaza tu elimu ya veta ni bora kuliko hata baadhi ya university. Kwa maana kwamba ukimpa kazi graduate wa veta let say wa civil, then mpe kazi hiyohiyo graduate wa degree si ajabu degree akashindwa kufanya kwa ubora sawa na wa veta
Umeme utoe hapo Mkuu.Ufundi simu, ufundi magari, ufundi umeme, kuendesha mitambo, ufundi wa kujenga, na kadhalika hakikisha unajifunzia mtaani utaelewa vizuri zaidi na vyuoni nenda upate cheti tu
Aisee kama huelewi theory ya hiko unachofanya, unakuwa huna tofauti na roboti...Njoo uone kazi ninazozifanya
Nashukuru kwa kulijua ili. Nimemaliza Bsc ya civil engineering sijui hata kuchanganya zege kupata 30C garde class ya concrete.elimu hii inatakiwa ifumuliwe dunia nzima.Hivyo ndivyo digirii nyingi zilivyo pia nchini "Tanzania".
Kabla sijaenda niliomba ushauri kwanza wengine wakaniambia niende maana mafundi wa mtaani wengi ni wachoyo kukupa siri zote za kazi, na wengine wakaniambia nisiende maana hiyo pesa ya ada robo tu unapata fundi anakufundisha vizuri tu.
Llakini nikaona ni bora tu niende veta ila nilichokikuta huko ndugu yangu sikushauri na wewe uende.
Nilienda kusomea ufundi simu hardwire na softwire lakini mpaka namaliza sijui hata kutoa port ya kuchajishia simu, nimekuja kujifunzia huku mtaani na nimejua.
Kule ni kwenda tu kujua majina ya component na matatizo ya simu
Ni veta za
serikali lakini.
Ulipigwa na kitu kizito , 😁😁 shida walimu wenyewe hawajuiKabla sijaenda niliomba ushauri kwanza wengine wakaniambia niende maana mafundi wa mtaani wengi ni wachoyo kukupa siri zote za kazi, na wengine wakaniambia nisiende maana hiyo pesa ya ada robo tu unapata fundi anakufundisha vizuri tu.
Llakini nikaona ni bora tu niende veta ila nilichokikuta huko ndugu yangu sikushauri na wewe uende.
Nilienda kusomea ufundi simu hardwire na softwire lakini mpaka namaliza sijui hata kutoa port ya kuchajishia simu, nimekuja kujifunzia huku mtaani na nimejua.
Kule ni kwenda tu kujua majina ya component na matatizo ya simu
Ni veta za serikali lakini.
Mkuu una akili sana.Aliekuambia VETA wanakupa uzoefu ni nani? wale wanakupa ujuzi ili ukienda mtaani ukautumia vizuri upate mafanikio. Hivyo uzoefu unapatikana mtaani, na hiyo elimu uliyoipata kuna siku utawashukuru.
Malengo yake yalikua sio kujua kuandika au kusoma hayo maneno,ni kuzifumua fumua na kuzibongonya bongonya na kuzirudisha kama zilivyoNdo maana nikamwambia asiwalaumu veta bure kumbe yeye mwenyewe ndo chenga....