Najuta kutupa pesa yangu VETA

Najuta kutupa pesa yangu VETA

Kabla sijaenda niliomba ushauri kwanza wengine wakaniambia niende maana mafundi wa mtaani wengi ni wachoyo kukupa siri zote za kazi, na wengine wakaniambia nisiende maana hiyo pesa ya ada robo tu unapata fundi anakufundisha vizuri tu.

Llakini nikaona ni bora tu niende veta ila nilichokikuta huko ndugu yangu sikushauri na wewe uende.

Nilienda kusomea ufundi simu hardwire na softwire lakini mpaka namaliza sijui hata kutoa port ya kuchajishia simu, nimekuja kujifunzia huku mtaani na nimejua.

Kule ni kwenda tu kujua majina ya component na matatizo ya simu
Ni veta za serikali lakini.

pole sana. ila nikupe siri moja ukitaka kufanikiwa ili.
wekeza pesa za kutosha na nenda Nje kasome au nunua app maalumu kwa ajili ya kujua simu na magonjwa ila ujipange
 
Ufundi simu, ufundi magari, ufundi umeme, kuendesha mitambo, ufundi wa kujenga, na kadhalika hakikisha unajifunzia mtaani utaelewa vizuri zaidi na vyuoni nenda upate cheti tu
Watu mnavokomment humu kama sio nyie vile. Eti kajifunze mtaani,,,, tukiwafata huuko mtaan mnatuzarau sana/mnatupandishia vioo sana sie tunaoomba kujifunza. Watanzania wanafiki sana.

Utaskia ooooh msimu huu hakuna wateja subir mwakan,, mara oooh mimi hapa sipokei wanafunzi na sababu lukuki.

Unakuja kwa madereva sasa hawa ndio balaa. Nishaongeaga na madereva wa malori,,, kila unaeongea nae anakwambia ntakuunganisha na jamaa fulan mara hapokei smu zako mara nn yaan sababu lukuki.
 
Tafuta vifaa vya kazi

Tafuta simu za aina zote za kuzifanyia practicals.

Tafuta bando la kutosha zamani goodle na youtube

Anza fungua simu zako

Fanya majaribio kwa vitendo consistently ndani mwaka mmoja utakuwa fundi mzurj sana achana na hao veta.

Mambo ya what is phone what is.... Mambo yaliyopitwa na wakati.

Mi mwenyewe mwakani nataka kujifunza hizi skillz
 
Watu mnavokomment humu kama sio nyie vile. Eti kajifunze mtaani,,,, tukiwafata huuko mtaan mnatuzarau sana/mnatupandishia vioo sana sie tunaoomba kujifunza. Watanzania wanafiki sana.

Utaskia ooooh msimu huu hakuna wateja subir mwakan,, mara oooh mimi hapa sipokei wanafunzi na sababu lukuki.

Unakuja kwa madereva sasa hawa ndio balaa. Nishaongeaga na madereva wa malori,,, kila unaeongea nae anakwambia ntakuunganisha na jamaa fulan mara hapokei smu zako mara nn yaan sababu lukuki.

Unaomba kinyonge.

Mshawishi na mpunga uone kama atakataa
 
Watu mnavokomment humu kama sio nyie vile. Eti kajifunze mtaani,,,, tukiwafata huuko mtaan mnatuzarau sana/mnatupandishia vioo sana sie tunaoomba kujifunza. Watanzania wanafiki sana.

Utaskia ooooh msimu huu hakuna wateja subir mwakan,, mara oooh mimi hapa sipokei wanafunzi na sababu lukuki.

Unakuja kwa madereva sasa hawa ndio balaa. Nishaongeaga na madereva wa malori,,, kila unaeongea nae anakwambia ntakuunganisha na jamaa fulan mara hapokei smu zako mara nn yaan sababu lukuki.
Tz kwa unafki hatujambo sana

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kabla sijaenda niliomba ushauri kwanza wengine wakaniambia niende maana mafundi wa mtaani wengi ni wachoyo kukupa siri zote za kazi, na wengine wakaniambia nisiende maana hiyo pesa ya ada robo tu unapata fundi anakufundisha vizuri tu.

Llakini nikaona ni bora tu niende veta ila nilichokikuta huko ndugu yangu sikushauri na wewe uende.

Nilienda kusomea ufundi simu hardwire na softwire lakini mpaka namaliza sijui hata kutoa port ya kuchajishia simu, nimekuja kujifunzia huku mtaani na nimejua.

Kule ni kwenda tu kujua majina ya component na matatizo ya simu
Ni veta za serikali lakini.
Huko veta ndio wanafundisha softwire na hardwire wewe kiazi sio ? , Kichwa maji kabisa
 
Tatizo ni hao wakufunzi walipelekwa wapi kupata huo ujuzi wa kufundisha wanafunzi. Unakuta sifa aliyonayo graduate basi
 
Elimu ya bongo kikubwa kupata cheti..just imagine unasoma diploma ya hydogeology ila ukienda kuchukua bachelor husomi kipya yaleyale unayarudia
Hata chuoni kuna nini kipya ukusoma sekondari
 
sema nini anza kujipiga msasa taratibu uwe nondo na ukiwa na hicho cheti utaheshimika na kuaminika hadi na mafundi wenzako.

Pitia tutorial za youtube sana na hivi una mwanga wa darasani badae hutojuta.

Mwisho wa yote, taaluma nyingi ujuzi wake unajifunzia kazini/mtaani.
 
Kabla sijaenda niliomba ushauri kwanza wengine wakaniambia niende maana mafundi wa mtaani wengi ni wachoyo kukupa siri zote za kazi, na wengine wakaniambia nisiende maana hiyo pesa ya ada robo tu unapata fundi anakufundisha vizuri tu.

Llakini nikaona ni bora tu niende veta ila nilichokikuta huko ndugu yangu sikushauri na wewe uende.

Nilienda kusomea ufundi simu hardwire na softwire lakini mpaka namaliza sijui hata kutoa port ya kuchajishia simu, nimekuja kujifunzia huku mtaani na nimejua.

Kule ni kwenda tu kujua majina ya component na matatizo ya simu
Ni veta za serikali lakini.
Ulikua aina Gani ya mwanafunzi hapo Veta? Yule wa kushika Multimeter na soldiering gun au yule anayesimam nyuma ya mshika Multimeter?
 
Kule wawezafundushwa Ohms law. V=IR

Wanazunguka sana.

Sema umepata nafasi ya kupata certificate kuna sehemu wanahitaji fundi ajue kazi na awe na makaratasi
Hajui watu wanaenda huko ili kupata makaratasi ila sio ujuzi
 
Hata chuoni kuna nini kipya ukusoma sekondari
Vipo vingi sana Mkuu, kuna fani huwa ni mpya kabisa kwenye ubongo wa mwanachuo. Fani kama sheria hata sijui ni kidato gani nimewahi kuisoma huko sekondari
 
Ulitaka wakufundishe kila kitu ili na wewe ukafungue chuo chako? Hii ndo Tanzania😂 wajasiriamali wa kutengeneza sabuni wale akishalipia ada mmoja tu anakuja mtaani anachaji ka ada kake anakula vichwa😂
 
Udsm wanatoa digrii ya muziki.. ila hao wahitimu. Hawajui kuimba na wala hawajui hata kupiga chombo chochote cha muziki.

Walimu wao nao hivyo hivyo
Niliwah kuona ba.fine art sijui magitaa.digrii.ila cha ajab dogo kond la 7 anawapeleksha na sasa anakaa mjumba ambao upige kaz kwa scale ya principal mpaka upew na hela yot ya kustaafia hupigi hata fence yake tu
 
Back
Top Bottom