Lord-N
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 211
- 586
Elimu ya tz ni ya kutafta chet tu maaa gata waajiri wa serikal wanatafta watu wenye vyet na sio ujuzi... Mtu ana cpa unamkuta kwenye mapokezi TRANi upotezaji mkubwa sana wa muda kwenda veta.
huwa wanatoka weupe. yaani hakuna wanachokijua. zaidi utaambiwa tu hiki kinaitwa hivi hiki kinaitwa vile.


jamani ila kuna ukweli