😀😀Anataka kukumbushia
Kwahiyo na mzee mrangi ni mtamu? Nimnyatie sa hivi 🤣🤣🤣Ila watamu....Halima mpaka kesho nakumbuka gemu Yako .
Inasaidia nini kwa mtoa mada ili hali iishe ?Kwa michango ya wadau nimeamin kweli zile tafit kwamba Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye waamin wengi wa ushirikina