Najuta kupoteza muda wangu kuangalia Ujinga uliopo Kwenye series ya money heist

umeelewa kweli au unakurupuka jombi??
Kuna nini hapo cha kuelewa zaidi ya hoja yake kwamba Money Heist ni series mbovu ambayo ni upumbavu na upuuzi mtupu?! Lakini pamoja na kusema series yenyewe ni upumbavu na ujinga mtupu bado kapata muda wa kuiangalia "seasons" 4!!!

Haya Mr. Genius, hebu nieleweshe unaelezea vp hiyo hali?! Unapata wapi muda wa kuangalia episodes 31 ambazo ni upumbavu mtupu?! Unatoa wapi appetite ya kuangalia episodes 31 kwa series ambayo ni upumbavu mtupu?
 
hili uwe na uhakika na report yako lazima ufanye uchunguzi WA kina na ndio maana jamaa akaiangalia zaid ya episode 2,uwez toa. maoni kwa kuona episode 1,je ikibadilika mbele,kwaiyo jamaa yuko sahii kuona zaid ya hizo episode hili ajilidhishe
 
Money heist ni moja Kati ya series nzuri..maana idea yake kwanza inautofauti. Pili series lazima iwe na vipande ambavyo vinaongeza muda.haiwezekan mwanzo mwisho akili itumike .huo sio mtihani ni movie wazee
 
hili uwe na uhakika na report yako lazima ufanye uchunguzi WA kina na ndio maana jamaa akaiangalia zaid ya episode 2,uwez toa. maoni kwa kuona episode 1,je ikibadilika mbele,kwaiyo jamaa yuko sahii kuona zaid ya hizo episode hili ajilidhishe
Kama ndivyo, how come tena anadai miaka mingi imepita bila kujichosha akili yake kwa kuangalia UJINGA wa kile kinachoitwa series?! Alijuaje kwamba series za takribani miaka 10 iliyopita zilikuwa ujinga mtupu wakati alikuwa haziangalii?!

That's one but again, unatoa wapi appetite ya kuangalia episodes 31 ambazo ni upumbavu mtupu?! Huna kazi zingine za kufanya?! Au unaamua kupoteza muda ili ufanye kile alichoamini ni analysis?!

Tunaposoma uandishi wa script tunafundiswa kwamba, the first 10 pages of your scripts are of essence coz' ndizo zita-determine kama Reviewer aendelee kuisoma script yako au aitupe kapuni!!

Kwanini tunaambiwa hivyo?! Kwa sababu there's no way mtu anaweza kusoma 45-120 pages script wakati ni boring script! Kwa maana nyingine, no one will watch the whole episode or the whole feature film wakati ni upumbavu mtupu!

Lakini wakati anataka kuonesha kwamba ni "series za siku hizi" kwa upande mwingine anaonesha sio mtu wa series at all unless kama maelezo yake siyo ya kweli!

Ninachokiona toka kwake ni ile hali ya Wabongo wengi series zao za kwanza kuwa ni Prison Break na 24, na matokeo yake inakuwa ni kama ile simulizi ya Kipofu Kaona Mwezi! Kwao hakuna best series kama PB na 24 !!

Kingine ninachokiona kwa jamaa kuanza kuangalia wakati tayari alishakuwa na perception yake kichwani kwamba PB, 24 na Traveler ndo kila kitu, na series za siku hizi ni upumbavu mtupu!!!

Ni kutokana na hilo, ndo maana mapema tu akatarajia watu wafanye tukio na kusepa zao bila kufahamu jamaa hawakuingia benki ambako tayari kuna noti bali waliingia sehemu ambayo walitakiwa kuchapisha noti!!!

Ameshindwa kuona ni namna gani Stockholm syndrome si kitu cha ajabu kwenye situation kama zile! Fanya homework upate mkasa wa Norrmalmstorg Robbery, jijini Stockholm, mkasa ambao ndio ulizaa the so-called Stockholm syndrome!

Binafsi Money Heist sio my top series,na haipo hata kwenye my Top Ten; na nimeshawahi kuandika humu ni namna gani huwezi kumlinganisha Michael Scofield na Professor coz' Michael is far smarter compared to Professor!

But seriously mtu aliyeangalia Money Heist critically anaweza kusema badala ya kufanya mishe za kuondoka ndo kwanza kunatokea "...mishe za kitoto za professor za kumtongoza inspector." Like serious?! Hivi aliangalia na kuelewa mazingira yaliyomkutanisha Professor na Inspector Raquel?!

Kukosoa kwamba eti movie haioneshi walitoka vp Spain hadi Caribbean inaonesha wazi hana ufahamu wa mambo ya filamu! Ni filamu za wapi hizo zinaonesha kila kitu?!

Kanuni moja wapo ya uandishi wa script ni kwamba, "write a scene that will push a story forward"!

Kuandika scene ikionesha wanaondoka Spain to Caribbean ingekuwa ni wastage of resources coz scene kama hiyo could never push the story forward unless ndani yake waingize additional twisting!

Kinyume chake, angalia scene iliyowakutanisha Professor na Raquel ilivyoweza ku-push story forward lakini yeye ndo kwanza anaponda!!

Unachambua halafu unashangaa mambo ya mapenzi... are you guys serious?! Hivi mmeona ni namna gani mambo ya mapenzi yalivyoweza ku-push story forward?! Kwanza aliyeangalia vizuri atagundua unlike PB ambayo characters walikutana gerezani, Money Heist walikutana uraiani na wakatumia siku kadhaa kupanga mipango!

Ingawaje Prof alikuwa against mahusiano among the Team Members lakini jambo hilo halikuwezekana kwa sababu there's no way unaweza kuweka watu wazima pamoja halafu wasianzishe mahusiano!!

Lakini kile kile ambacho Professor kilimfanye apinge mahusiano, ndivyo ambavyo mahusiano ya Tokyo na Rio yalivyoleta tafurani zilizoweza kufanya story iende mbele! Ni baada ya Tokyo kumwacha Rio kule batani, siku zilizofuata Rio recklessly akampigia simu Tokyo na hivyo kusababisha kuwa tracked!

Akawa tracked na kukamatwa, jambo ambalo lilizaa a new heist ambayo ililenga kwenda kumwokoa Rio!

Ni mapenzi ndiyo yalileta yote hayo!

Ni mapenzi ya Professor kwa Raquel ndiyo yalimfanya Professor apoteze dira baada ya kuhisi Raquel ameuawa!!! Ni mapenzi ya mama kwa mwana ndiyo pia yalisababisha Nairobi kupigwa risasi na kuleta tafurani kundini! Bogota's strong feelings kwa Nairobi ndizo zilimfanya hatimae aondoke kwenye reli na kutumia muda mwingi kumuhudumia Nairobi!

Mleta mada anaisifia PB... anasahau ni mapenzi ya Sarah kwa Michael ndiyo yaliwezesha Michael kutoroka! Ni mapenzi ya Warden Pope kwa mke wake ndiyo yalimpa access Michael ofisi ya Warden!! Ni mapenzi ya Sucre kwa Maricruz ndiyo yalimfanya Sucre ajiunge na mpango wa prison breaking!! Ni mapenzi ya T-Bag kwa Suzan Hollander ndiyo yalithibitisha hakuna mkate mgumu kwenye chai manake na ujanja wake wote ule, kwa mara ya kwanza tukamshuhudia T-Bag analia!!!

Mifano kama hiyo pia ipo mingi hata kwenye 24!

Hapa itoshe tu kusema kwamba, kwenye uandishi kuna kitu kinaitwa kutengeneza conflicts! Mapenzi ni moja ya vyanzo vikuu vya conflicts kwenye literature coz yanafanya watu wawe stupid and reckless! Haya yalimkuta hadi Mmatumbi mwenzetu, Ngoswe!

Hali ya watu kuwa idiot ndiyo inazaa mikasa na twisting nyingi kwenye uandishi! Lau kama Money Heist isingekuwa na zile vurugu za mapenzi basi kuna hatari story ingekuwa flat, na hatimae kuwa totally boring!!
 
Kama ndivyo, how come tena anadai miaka mingi imepita bila kujichosha akili yake kwa kuangalia UJINGA wa kile kinachoitwa series?! Alijuaje kwamba series za takribani miaka 10 iliyopita zilikuwa ujinga mtupu wakati alikuwa haziangalii?!

That's one but two, unatoa wapi appetite ya kuangalia episodes 31 ambazo ni upumbavu mtupu?! Huna kazi zingine za kufanya?! Au unaamua kupoteza muda ili ufanye kile alichoamini ni analysis?!

Tunaposoma uandishi wa script tunafundiswa kwamba, the first 10 pages of your scripts are of essence coz' ndizo zita-determine kama Evaluator/ Reviewer aendelee kuisoma script yako au aitupe kwenye kapu! Kama umetumia standard writing software na umefuata standard format, 10 pages ni almost 10 minutes of a shot film!

Kwanini tunaambiwa hivyo?! Kwa sababu there's no way mtu anaweza kusoma 45-120 pages script wakati ni boring script! Kwa maana nyingine, no one will watch the whole episode or the whole feature film wakati ni upumbavu mtupu unless kama huyo mtu hana kazi ya kufanya!

Lakini wakati anataka kuonesha kwamba ni "series za siku hizi" kwa upande mwingine anaonesha sio mtu wa series at all unless kama maelezo yake siyo ya kweli!

Ninachokiona toka kwake ni ile hali ya Wabongo wengi series zao kwanza kuwa ni Prison Break na 24, na matokeo yake inakuwa ni kama ile simulizi ya Kipofu Kaona Mwezi! Kwao hakuna best series kama PB na 24 !!

Kingine ninachokiona kwa jamaa, a moment anaamua kuanza kuiangalia, tayari alishakuwa na perception yake kichwani kwamba PB, 24 na Traveler ndo kila kitu, na series za siku hizi ni upumbavu mtupu!!! Yaani alianza kuiangalia huku akitafuta makosa badala ya kuiangalia ili kama ni kufanya review, afanye review isiyokuwa influenced na stereotype!

Ni kutokana na hilo, no wonder ali-miss a point mapema tu kama vile alivyotarajia watu wafanye tukio na kusepa zao bila kufahamu jamaa hawakuingia benki ambako tayari kuna noti bali waliingia sehemu ambayo walitakiwa kuchapisha noti!!!

And if you ask me, it's a smart move coz' ukiiba pesa ambayo tayari ipo unakuwa kwenye risk ya kuwa tracked kwa sababu serial numbers zake zinafahamika! Na kama hujiweki kwenye risk ya kuwa tracked, unajiweka kwenye risk ya kupoteza kwa serials zilizoibiwa kuwa blacklisted!

Ameshindwa kuona ni namna gani Stockholm syndrome si kitu cha ajabu kwenye situation kama zile! Fanya homework upate mkasa wa Norrmalmstorg Robbery, jijini Stockholm, mkasa ambao ndio ulizaa the so-called Stockholm syndrome!

Binafsi Money Heist sio my top series,na haipo hata kwenye my Top Ten series; na nimeshawahi kuandika humu ni namna gani huwezi kumlinganisha Michael Scofield na Professor coz' Michael is far smarter compared to Professor, na nilitaja sababu!

But seriously mtu aliyeangalia Money Heist critically anaweza kusema badala ya kufanya mishe za kuondoka ndo kwanza kunatokea "...mishe za kitoto za professor za kumtongoza inspector." Like serious?!

Hivi aliangalia huyu na kuelewa mazingira yaliyomkutanisha Professor na Inspector Raquel?!

Kukosoa kwamba eti movie haioneshi walitoka vp Spain na badala yake moja kwa moja wanaonekana Caribbean inaonesha wazi hana ufahamu wa mambo ya filamu! Ni filamu za wapi hizo zinaonesha kila kitu?!

Kanuni moja wapo ya uandishi wa script ni kwamba, "write a scene that will push a story forward"! Kuandika scene ikionesha wanaondoka Spain hadi Caribbean ilikuwa ni wastage of resources kwa sababu scene kama hiyo could never push the story forward unless ndani yake waingize additional twisting!

Kinyume chake, angalia scene iliyowakutanisha Professor na Raquel ilivyoweza ku-push story forward lakini yeye ndo kwanza anaponda!!

Unachambua halafu unashangaa mambo ya mapenzi... are you guys serious?! Hivi mmeona ni namna gani mambo ya mapenzi yalivyoweza ku-push story forward?!

Kwanza aliyeangalia vizuri atagundua unlike PB ambayo characters walikutana gerezani, Money Heist walikutana uraiani na wakatumia siku kadhaa kupanga mipango!

Ingawaje Prof alikuwa against na mambo ya mahusiano among the Team Members kwa kujua yanaweza ku-jeopardize mission lakini jambo hilo halikuwezekana kwa sababu there's no way unaweza kuweka watu wazima pamoja halafu wasianzishe mahusiano!!

Lakini kile kile ambacho Professor kilimfanye apinge mahusiano, ndivyo ambavyo mahusiano ya Tokyo na Rio yalivyoleta songimbingo nyingi zilizoweza kufanya story iende mbele! Ikumbukwe ni baada ya Tokyo kumwacha Rio kule kisiwani, siku zilizofuata Rio recklessly akampigia simu Tokyo na hivyo kusababisha kuwa tracked!

Akawa tracked na kukamatwa, jambo ambalo lilizaa a new heist ambayo ililenga kwenda kumwokoa Rio!

Ni mapenzi ndiyo yalileta yote hayo! Ni mapenzi ya Professor kwa Raquel ndiyo yalimfanya Professor apoteze dira moja kwa moja baada ya kuhisi Raquel ameuawa!!! Ni mapenzi ya mama kwa mwana ndiyo pia yalisababisha Nairobi kupigwa risasi na hali kuifanya kuwa ngumu zaidi! Bogota's strong feelings kwa Nairobi ndizo zilimfanya hatimae aondoke kabisa kwenye reli na kuanza kumuhudumia Nairobi baada ya kuwa amepigwa risasi!

Mleta mada anaisifia PB... anasahau ni mapenzi ya Sarah kwa Michael ndiyo yaliwezesha Michael kutoroka! Ni mapenzi ya Warden Pope kwa mke wake ndiyo yalimpa access Michael ofisi ya Warden!! Ni mapenzi ya Sucre kwa Maricruz ndiyo yalimfanya Sucre ajiunge na mpango wa prison breaking!! Ni mapenzi ya T-Bag kwa Suzan Hollander ndiyo yalithibitisha hakuna mkate mgumu kwenye chai manake na ujanja wake wote ule, kwa mara ya kwanza tukamshuhudia T-Bag analia!!!

Mifano kama hiyo pia ipo mingi hata kwenye 24!

Hapa itoshe tu kusema kwamba, kwenye uandishi kuna kitu kinaitwa kutengeneza conflicts! Mapenzi ni moja ya vyanzo vitamu vya conflicts kwa sababu yanafanya watu wawe stupid, na hivyo kuhatarisha missions zao! Haya yalimkuta hadi Mmatumbi mwenzetu Ngoswe!

Hali ya watu kuwa idiot ndiyo inazaa mikasa na twisting nyingi kwenye uandishi! Lau kama Money Heist isingekuwa na zile vurugu za mapenzi basi kuna hatari story ingekuwa flat, na hatimae kuwa totally boring!!

Ile kutaka eti baada ya kuingia alitarajia wafanye tukio na kutoroka ndo flat stories zenyewe hizo!
Mkuu inaonekana kwenye tasnia hii upo vizuri. Umeshuka nondo za maana.
Sasa hebu pendekeza series angalau tupotezepoteze muda kwa wkend hii

Series kali na tamu zenye maudhui kama pb 24hrs n.k
 
Haya ni mawazo tu
Kama ndivyo, how come tena anadai miaka mingi imepita bila kujichosha akili yake kwa kuangalia UJINGA wa kile kinachoitwa series?! Alijuaje kwamba series za takribani miaka 10 iliyopita zilikuwa ujinga mtupu wakati alikuwa haziangalii?!

That's one but again, unatoa wapi appetite ya kuangalia episodes 31 ambazo ni upumbavu mtupu?! Huna kazi zingine za kufanya?! Au unaamua kupoteza muda ili ufanye kile alichoamini ni analysis?!

Tunaposoma uandishi wa script tunafundiswa kwamba, the first 10 pages of your scripts are of essence coz' ndizo zita-determine kama Reviewer aendelee kuisoma script yako au aitupe kapuni!!

Kwanini tunaambiwa hivyo?! Kwa sababu there's no way mtu anaweza kusoma 45-120 pages script wakati ni boring script! Kwa maana nyingine, no one will watch the whole episode or the whole feature film wakati ni upumbavu mtupu!

Lakini wakati anataka kuonesha kwamba ni "series za siku hizi" kwa upande mwingine anaonesha sio mtu wa series at all unless kama maelezo yake siyo ya kweli!

Ninachokiona toka kwake ni ile hali ya Wabongo wengi series zao za kwanza kuwa ni Prison Break na 24, na matokeo yake inakuwa ni kama ile simulizi ya Kipofu Kaona Mwezi! Kwao hakuna best series kama PB na 24 !!

Kingine ninachokiona kwa jamaa kuanza kuangalia wakati tayari alishakuwa na perception yake kichwani kwamba PB, 24 na Traveler ndo kila kitu, na series za siku hizi ni upumbavu mtupu!!!

Ni kutokana na hilo, ndo maana mapema tu akatarajia watu wafanye tukio na kusepa zao bila kufahamu jamaa hawakuingia benki ambako tayari kuna noti bali waliingia sehemu ambayo walitakiwa kuchapisha noti!!!

Ameshindwa kuona ni namna gani Stockholm syndrome si kitu cha ajabu kwenye situation kama zile! Fanya homework upate mkasa wa Norrmalmstorg Robbery, jijini Stockholm, mkasa ambao ndio ulizaa the so-called Stockholm syndrome!

Binafsi Money Heist sio my top series,na haipo hata kwenye my Top Ten; na nimeshawahi kuandika humu ni namna gani huwezi kumlinganisha Michael Scofield na Professor coz' Michael is far smarter compared to Professor!

But seriously mtu aliyeangalia Money Heist critically anaweza kusema badala ya kufanya mishe za kuondoka ndo kwanza kunatokea "...mishe za kitoto za professor za kumtongoza inspector." Like serious?! Hivi aliangalia na kuelewa mazingira yaliyomkutanisha Professor na Inspector Raquel?!

Kukosoa kwamba eti movie haioneshi walitoka vp Spain hadi Caribbean inaonesha wazi hana ufahamu wa mambo ya filamu! Ni filamu za wapi hizo zinaonesha kila kitu?!

Kanuni moja wapo ya uandishi wa script ni kwamba, "write a scene that will push a story forward"! Kuandika scene ikionesha wanaondoka Spain to Caribbean ingekuwa ni wastage of resources coz scene kama hiyo could never push the story forward unless ndani yake waingize additional twisting!

Kinyume chake, angalia scene iliyowakutanisha Professor na Raquel ilivyoweza ku-push story forward lakini yeye ndo kwanza anaponda!!

Unachambua halafu unashangaa mambo ya mapenzi... are you guys serious?! Hivi mmeona ni namna gani mambo ya mapenzi yalivyoweza ku-push story forward?! Kwanza aliyeangalia vizuri atagundua unlike PB ambayo characters walikutana gerezani, Money Heist walikutana uraiani na wakatumia siku kadhaa kupanga mipango!

Ingawaje Prof alikuwa against mahusiano among the Team Members lakini jambo hilo halikuwezekana kwa sababu there's no way unaweza kuweka watu wazima pamoja halafu wasianzishe mahusiano!!

Lakini kile kile ambacho Professor kilimfanye apinge mahusiano, ndivyo ambavyo mahusiano ya Tokyo na Rio yalivyoleta tafurani zilizoweza kufanya story iende mbele! Ni baada ya Tokyo kumwacha Rio kule batani, siku zilizofuata Rio recklessly akampigia simu Tokyo na hivyo kusababisha kuwa tracked!

Akawa tracked na kukamatwa, jambo ambalo lilizaa a new heist ambayo ililenga kwenda kumwokoa Rio!

Ni mapenzi ndiyo yalileta yote hayo! Ni mapenzi ya Professor kwa Raquel ndiyo yalimfanya Professor apoteze dira baada ya kuhisi Raquel ameuawa!!! Ni mapenzi ya mama kwa mwana ndiyo pia yalisababisha Nairobi kupigwa risasi na kuleta tafurani kundini! Bogota's strong feelings kwa Nairobi ndizo zilimfanya hatimae aondoke kwenye reli na kutumia muda mwingi kumuhudumia Nairobi!

Mleta mada anaisifia PB... anasahau ni mapenzi ya Sarah kwa Michael ndiyo yaliwezesha Michael kutoroka! Ni mapenzi ya Warden Pope kwa mke wake ndiyo yalimpa access Michael ofisi ya Warden!! Ni mapenzi ya Sucre kwa Maricruz ndiyo yalimfanya Sucre ajiunge na mpango wa prison breaking!! Ni mapenzi ya T-Bag kwa Suzan Hollander ndiyo yalithibitisha hakuna mkate mgumu kwenye chai manake na ujanja wake wote ule, kwa mara ya kwanza tukamshuhudia T-Bag analia!!!

Mifano kama hiyo pia ipo mingi hata kwenye 24!

Hapa itoshe tu kusema kwamba, kwenye uandishi kuna kitu kinaitwa kutengeneza conflicts! Mapenzi ni moja ya vyanzo vikuu vya conflicts kwenye literature coz yanafanya watu wawe stupid! Haya yalimkuta hadi Mmatumbi mwenzetu Ngoswe!

Hali ya watu kuwa idiot ndiyo inazaa mikasa na twisting nyingi kwenye uandishi! Lau kama Money Heist isingekuwa na zile vurugu za mapenzi basi kuna hatari story ingekuwa flat, na hatimae kuwa totally boring!!
 
watu na kujifanya hebu toa yako bwana mtaalam alafu unapoongelea season4 eti profesor hajatumi ujuzi wowote lazima uelewe hiyo ilikuwa ni idea ya berlin ambae ni marehemu ndio maana unaiona hiyo misukosuko yote bwana mtaalam
 
Kwa mara ya Kwanza toka 2009 nilipoanza kuchek series za 24 na prison break nilishamaliza kufananisha na series yeyote duniani nakumbuka mwaka 2010 nilichek pia series moja tamu Sana inatwa traveller,hii movie haikutoka tena na sielew sababu ya kushindwa kuchezwa mpaka leo..

Miaka mingi imepita bila kujichosha akili Yangu Kwa kuangalia UJINGA wa kile kinachoitwa series Kali mpaka mwaka huu nilipoamua kuchek series ya money heist (baada ya watu wengi kuifananisha na prison break na 24 hasa hapa jamiiforum).
Jumamosi iliyopita niliona Bora na Mimi nijiridhishe na hiyo movie kama kawaida nikaanza na season ya Kwanza nikaona holaaa!!! Sioni cha kutumia akili wala nini!! Nikajipa moyo nikamaliza Ila kikubwa nilichokuta ndani ya hiyo movie ni upumbavu na upuuzi tu.

Season 1: jamaa wameingia ndani ya bank na kinachofanyika humo ndani ni mapenzi Tu badala ya kupanga namna ya kuondoka na pesa hawa wezi wanaanza kuchagua kila mmoja na hostage pia kuna mdada mmoja Kwenye hii movie anaitwa Tokyo huyu muda wote anapigwa miti Tu na kusagana(movie imejaa ngono kama porn)

Season 2: huku nako hamna kitu kabisaaa nilishangaa kuona hawa wezi hawana hata mpango wowote wanaofanya ili watoroke zaidizaid ni hizo mishe za kitoto za professor za kumtongoza inspector...
Tukirudi Kwa professor ambae wadau wanamfananisha na jack Bauer au Michael Scofield ni bure kabisa Hana lolote la maana, huyu lofa(professor) kazi yake ni kujifungia ndani Kwenye chumba cha Siri na kupiga simu ndani ya bank na kuwapa mbinu za kutoroka Kwa kifupi Hana tofauti na operator wa tigo .

Season 3 nayo hakuna maajabu zaidi ya Tokyo kutoka ndani ya mint na kwenda nje pia anakamatwa na baadae anafanikiwa kuwatoroka polisi Ila cha ajabu anarudi tena ndani ya bank ili akagongwe miti(ebu fikiria mtu anatoroka polisi chini ya ulinzi mkali lkn baadae anaamua arudi tena ndani akakutane na wenzake badala ya kupanga mipango ya kuwaokoa wenzake akiwa nje)

Season 4: mara baada kufanikiwa kuiba pesa(movie haijatuonesha waliondoka vipi Spain na kukimbilia Caribbean countries Ila tunaona Tu jamaa wapo huko wanakula bata).
Nilishangaa kuona Kwa mara ya Kwanza majambazi ni mashoga kuna kipande kinaoneshwa jamaa wanakula mate(hii movie haifai kuangalia na watoto Hilo ni angalizo hata Kwa wale wenye kuipenda hii movie Yao watakubaliana na Mimi)

Mwisho katika season zote 4 sijaona sehemu yeyote ambayo professor ametumia akili au tukio Fulani ambalo Lina uhalisia hakuna kitu kama hicho, Kwa wale ambayo wanataka kuitafuta hii movie nawasihi haina haja ya kusumbua muda wao... Movie ambayo muda wote Tokyo anapigwa miti itakusaidia nini?

Kuifananisha money heist na 24, traveller na prison break ni dhambi kubwa tena Kwa mtu ambaye asiyejua lolote na mshamba wa movie asifananishe na UJINGA wa professor na akina jack Bauer
Hakuna movie pale....hawajui...directors ni wabovu ila tu wanavifaa na camera....
Episode nne tu za mwanzo zilinitosha nikadelete ktk local disc halafu nikaifata ktk recycle bin nikatoa tena ....upumbumbavu ktk movie staki
 
Traveller ni No1 kwa upande wangu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom