Huyo ni wa kunyooshwa tu, aachwe peke yake na mtoto kama mwaka mmoja afu jamaa arudi aone kama atakuwa anaitenga k mwenyewe bila hata kuombwa. Sasa hapo ukimsaliti napo atalalamika kweli.Eti wana mtoto mmoja. Wakati wa morning glory mwanamke amevaa jinz. Kuna kitu kitamu kuliko morning glory kweli?
Kimbia UTAKUFA ukifanya JASIRITupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Haya hongeraaaaYaani vibaya mnooo
Believe me, believe me nimefuatilia post zako. Sijawahi ona sehemu unashauri kama hivi. Hatari sanaKama hudanganyi pole sana
Sipendi kumshauri mtu kuchepuka ila hii ndio solution, kwa nn akutese? Kama hataki ndoa si aondoke?
Anakufungia njee kama nani? Acha utani, nyumba yako Mke anakufungia nje? Au wewe ndio umeolewa anakufanyia Visa uondoke??
Shauri yao! I was super careful on thatAmbao hamjaoa jamani kuweni makini..
maisha ya ndoa sio marahis sana.
-Oa mtu akuzalie watoto
-Oa mtu wa kukusaidia
-Oa mtu ili wewe uwe kiongozi wa familia
Huyo ndio MKE.
Uzuri wa MKE ni tabia..
Lakini wengi wetu(including myself) tunaangalia sana sababu za muda mfupi na uzuri wa nje....
"Usitumie sababu za muda mfupi kufanya maamuzi ya kudumu''
Mwl. J.k Nyerere.
U will thank me later
AsanteeeHaya hongeraaaa
AiseeApambane tu maana pia kuna wanawake wanapitia magumu zaidi ya hayo kutoka kwa waume zao na jamii inaona kawaida ila hayo magumu wakipitia wanaume kutoka kwa wake zao jamii inataka tuwasikitikie
Binafsi namshauri aendelee tu na mke wake amuombee abadilike asiwaze kuchepuka, kumuacha wala kuoa mke mwingine yaani avumilie tu ili aone kama kuvumilia maovu ya mwenza wa ndoa kila siku ni kitu rahisi kama tunavyowashaurigi wanawake wavumilie maovu ya waume zao kila siku
Yaani vibaya mnooo
Mapenzi yanapozaliwa huwa yamejaa utamu, lakini kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo yanavyopungua. Wewe kama umepata mpenzi ambaye unahisi utaweza kuvumilia mapungufu yake muoe tu maisha yaendelee.Aya mambo ndio yananifany niendeleh kusubir kupata mtu sahii
Pole kwa kufanya wrong choice...hakuna maisha ya raha kama ya ndoa only kama utafanya right vhoice..Mungu akupe hekimaTupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Kanda maalumTupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA