Unafuraaaaahi?????ukiachana na yote hayo uliyoongea huko mwanzo mimi hapo mwishoni ndo pamenimaliza kabisa yaani hapo uliposema alikujibu kuwa huwa anashukuru kimoyomoyo ndo pamefunga kazi nimejikuta nacheka kwa nguvu peke yangu alfajiri yote hii aise hilo jibu la mkeo limeifanya siku yangu ianze vizuri
Edelyn Huyo bhanaMkuu, kwa hiyo wewe hadi umecheka maana unafurahia magumu anayopitia huyu jamaa? Au kucheka kwako kuna maana gani? Sijaelewa!!!
Kila tatizo huwa lina ufumbuzi wake,3. Kitu ambacho anahitaji nikae nae mda woote nisiende kutafuta . Anasema nazunguka saaaana . Yeye hana kazi. Nadhani hapo ndo shida ilipo lakini najitahd wikiend yoote nakaa na family na kuicare . Lakini mabadiliko siyaoni hata kdg
Sio uamuzi sahihi na wakudumu, bali mbele huko utaongeza matatizo mengine.Akilala ni fofofo mpaka asbuh. Saa 1:30 usiku tu usingizi mororo. Namimi nikiona hivyo,natoka kupombekaaa. Nimepanga kuchepuka
Hujanielew labda nimekuwa na mazoea ila ni mablanket mkuuEti shuka makambako loh
Mkuu hili jambo sijamshirikisha mtu yyt zaidi yenu wana Jf.Hapa najua hamna anayenijua ndo maana nimemwaha sumu yote saivi niko mahala nakunywa pombeSio uamuzi sahihi na wakudumu, bali mbele huko utaongeza matatizo mengine.
- Shirikisha wazazi
- Kama dini inaruhusu, na uko tayari basi oa mke wa pili na sio kuwa na mchepuko.
Hakuna ndoa hapo mkuu.Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Mkuu huwezi amini ndo nimeamkia pombe sigara Mungu shahidi*** Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara --- hili sio suluhisho
...kaaa na mwenzioo SEMA NAE EEE usione sooo...
Kuwa makini na pombe, Daima unywaji usio wa afya matokeo yake huwa ni mabaya na yakujutia, wengi wamepoteza dira ya maisha kutokana na pombe, na huanza kidogo kidogo.nimemwaha sumu yote saivi niko mahala nakunywa pombe
Kwa hali uliyofikia, matumizi ya pombe, ni wakati sasa wa kuwashirikisha wengine, anza na wazazi wa mkeo.Mkuu hili jambo sijamshirikisha mtu yyt zaidi yenu wana Jf.
Pole sana.Mkuu huwezi amini ndo nimeamkia pombe sigara Mungu shahidiView attachment 1130402
Asante mkuu wanguuuuuPole sana.