Tafuta mchepuko wa kudumu au mpige chini au ongeza Mke wa piliTupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
😂 😂 😂 😂 😂 😂Analala na jinsi suruali
Atakuwa alisoma GENDER studies huyo, hao wanaambiwa/mnaambiana mmeoana badala ya wewe kuoa na mke kuolewa kaazi kweli.Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA

Daah,ndoa ndoano!..msalaba wako huo mkuu,pambana nao tu,Mungu akusaidieTupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Duh! !! Yaani a hame mkoa/nchi. Kisa mwanamke mwambie aache umama
7Wewe ndoa yako ina miaka mingapi labda?
Kwa mtu ambae hayajamkuta atakubeza lakini Mimi yalishanikuta hayo nikabembeleza tukashirikisha wazazi,tukaenda Hadi kwenye mabalaza ya usuluhisho lakini wapi mwanamke akibadilika huwezi kumnyoosha tena nilipiga sana makofi lakini wapi nikaja kugundua kuwa alidanganywa na makundu kunifanyia madawa ya kienyeji akahisi tayari ameniwin kwakweli nilikuwa na stress sana sikupenda kumuacha na watoto wangu lakini ilifika mwisho nikafanya maamuzi ya kumuacha saiz Nina Amani moyoni mwangu Hawa watu kaka wanakera sana alafu huwa wanabadilika wakishapata mtoto tu,Mwanzo munaishi vizuriii kabisa mzalishe sasa utashangaa anabadilika
Hawa wanawake mbona mnawalealea sana! Unaanzaje kulalamika kisa mwanamke! Piga chini huyo mama, tafuta msichana, date naye ukipendezwa naye oa kabisa.
Acha uchochezi.Umeeleweka Mkuu, Ila hapo angalia sana huenda kuna mwamba mnasaidiana
Sijaoa bado, ila ndo utakuwa utaratibu wangu. Sitakagi kuyumbishwa na mwanamke kabisa, wako wengi mno……..napanga na kupangua panapolazimu kufanya hivyo mkuu.Una wake wangapi?
Kama hutakagi kuyumbishwa na mwanamke nakushauri uoe kinyago au usioe kabisa. Usipokuwa na hekima huwezi kuishi na mwanamke yoyote. Hakuna mwanaume HAPA anayeweza kusema hababaishwi na mwanamke; HAKUNA labda awe kwenye denial kutokana na masaibu yaliyomkuta kwa kupenda mwanamke.Sijaoa bado, ila ndo utakuwa utaratibu wangu. Sitakagi kuyumbishwa na mwanamke kabisa, wako wengi mno……..napanga na kupangua panapolazimu kufanya hivyo mkuu.
Nina mpango wa kuoa, lakini kwa tahadhari kubwa mno hata ninayemuoa ananijua kuwa huwa sivumilii ujinga wa aina yeyote kwenye mahusiano. Nipo tayari kuishi bila mke ila siyo kuvumilia udhaifu wa mwanamke. Sipaswi wala sistahili kulalamika na kulialia kisa mwanamke.Kama hutakagi kuyumbishwa na mwanamke nakushauri uoe kinyago au usioe kabisa. Usipokuwa na hekima huwezi kuishi na mwanamke yoyote. Hakuna mwanaume HAPA anayeweza kusema hababaishwi na mwanamke; HAKUNA labda awe kwenye denial kutokana na masaibu yaliyomkuta kwa kupenda mwanamke.
HAUKO TAYARI KUVUMILIA UDHAIFU WAKO MWENYEWE. KUTOKUWA TAYARI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MAISHA YA MAHUSIANO NI UDHAIFU BINAFSI NA SI WA UPANDE WA PILI.Nina mpango wa kuoa, lakini kwa tahadhari kubwa mno hata ninayemuoa ananijua kuwa huwa sivumilii ujinga wa aina yeyote kwenye mahusiano. Nipo tayari kuishi bila mke ila siyo kuvumilia udhaifu wa mwanamke. Sipaswi wala sistahili kulalamika na kulialia kisa mwanamke.