UNIQUEMAN1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 378
- 450
Asante saaaanaPole sana
Nadhani ndo naelekea huko!!Achana nae lea mtoto wako tu yeye piga chini kuoa haimaanishi kua umejipeleka gerezani
Nahisi wewe ni mdogo wangu na kama sio wewe basi itakuwa story zenu zinafanana yaani mkewe yuko hivyo hivyo mpaka jamaa anatamani kumwachia kila kitu ahame mkoa au nchi kabisa!Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Kwenye maisha yako jiepushe sana na kuhukumu kwa kusikiliza kesi upande mmoja.Hayo mambo ndiyo yanawatumbukiza watu kwenye michepuko kama siyo kuwa na mitala.
Mwenza huwa siyo sura, fedha wala nini !!. Mwenza ni akili na moyo safi. Anakokufikisha huyo kila moja atashika njia yake. Bado kidogo tu
Kwamba sipo MAKAMBAKO au? Mbn sijakuelewa ww mkuryHata kinyonga hubadilika kutokana na mazingira aliyopo. Kuna mazingira umeyatengeneza wewe yamepelekea awe hivyo.
Umetupa mabaya yake, , ya kwako hujatupa.
Unatulazimisha tujadili u kanda maalum wake, nahisi kabila lake Mkurya. Tangu kabla hujaoa hukujua kuwa ni Mkurya? Mbona wakura watu poa sana wenye adabu na heshima zote?
Unasema uko Makambako 7unajifunika shuka, je haya ni majira ya kujifunika shuka Makambako, ?
Nadhani uko kwenye Makambako ya bongo muvi ............
Katafute mazezeta siku ya jumamosi kwenye maombi aliyoandaa BASHITE ndio uwape hiyo story yako.
Uwongo gani? Kwamba nimelazimisha kutoa kitu kinachoniumuza moyoni?? Au niongope ili iweje labda?? Hujawaza vizuri. Hapa nimetoa sumu mwilini huu muda ungekuta tupo kwenye morning Glory!! Lakini tumelal mzungu wanne . Unafkr ningeshika hii simu na kuandika?Kwenye maisha yako jiepushe sana na kuhukumu kwa kusikiliza kesi upande mmoja.
Story ya mshikaji ina uwongo mwingi ndani yake.
je haya ni majira ya kujifunika shuka Makambako, ?
Labd ndipo nlipokosea skumaanish hiloHapa namimi nilipata mshaka vile nimelala hapo Juzi, hali ile hata blanket la kawaida halifai
Sure mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiachana na yote hayo uliyoongea huko mwanzo mimi hapo mwishoni ndo pamenimaliza kabisa yaani hapo uliposema alikujibu kuwa huwa anashukuru kimoyomoyo ndo pamefunga kazi nimejikuta nacheka kwa nguvu peke yangu alfajiri yote hii aise hilo jibu la mkeo limeifanya siku yangu ianze vizuri[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]