Najuta kuoa Tanganyika

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
4,896
1,862
Wadau,
Kuna mpemba mwenzangu kaoa huko kaskazini mwa tanganyika.
Anajuta sana, anasema mke wake ni mtanganyika,
hajui marashi ya karafuu,
hajui udi ni nini anaweka kwenye friji,
hajui miski
yaani inshort angejua angeoa PEMBA.
Wadau kama kuna mtu yamemtokea kaoa kaskazini mwa tanganyika atupashe
 
Mbona vitu vidogo hivyo, amfundishe tu

Ila na yeye akome kwani alikosa wapemba wenzake hadi kuja kuoa kwetu bara, ya bara tuachieni wenyewe atii!
 
Sasa si amuwache huyo mwanamke arudi kwao lazima kuishi na kero.

Myanaume ya kizanzibar ni kero tu.
 
Nonsense, jukwaa hili nadhani kama halinifai sometime, kuna refa mchezaji analiaribu hili jukwaa.
 
wakati wa uchumba hakujua kuwa kuwa mkewe mtarajiwa hajui hayo? Au anatafuta sababu ya kuoa mke wa pili?



Ila mmmmh wakizungumza ndani mwao nani anakuwa mke nani mume? Maana wanaume wa visiwani sauti zenu na lafudhi zenu mmmmmmh
 
Mkuu naona umepotea njia, au rafiki yako ana upeo mfupi.. Sasa yeye anadhani kila sehemu ni pemba ?

Kweli "He who does not travel.., thinks his mother is the best cook". Mwambie, "when in Rome, do as Romans do"
 
Haya mapemba me siyapendi.asa hapo ndo unataka kutuambia nin sie watanganyika?masaburi yako machafu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom