Najuta kuoa mwanamke kutoka kanda ya ziwa, aisee najuta indeed!


Pole sana bro!! ...ila kufuatia kinaendelea sasa iv kuwa vijana wengi hatukai kwenye ndoa. Sababu kubwa inaweza kuwa ni kushindwa kuwa "WANAUME"...usipaniki tulia!!

Vijana tunakuwa soft sana kiasi ambacho mwanamke anakutawala ndani ya nyumba, na ukija kushtuka unatawaliwa na unataka kuchana( divorce) , Hii ni kwasababu sio kaliba ya mwanaume kutawaliwa...sometimes! bro mistakes are ours.

Lakini ujue mpaka umefikia kutawaliwa wewe ndio umetoa nafasi....sense fupi tu, unakuta mwanamke siku za mwanzo za ndoa anakuheshimu vizuri tu. lakin muda unavyozidi kwenda unashindwa ku-hold power Shem anaanza kukuburuza...ndio hapo sasa divorce inatake place baada ya kuwa under-control. ( yaani umedhibitiwa).


Infact, hata mungu kashasema tuishi nao kwa akili,..unakuta gentleman anamudi kufanya kila kitu ndoa ( yaani meals, shelter and cloth) but maarifa ya kumjua mwanamke na namna ya kuishi nae ndio tunapofeli...na ubaya hatujisumbua kutafuta hayo maarifa badala yake tunakuwa wavivu na kupenda sana ushauri wengi wetu!! kutafuta sympath kwa watu wetu wakaribu.

Wengi Wetu tunaugua huu ugonjwa wa "NICE GUY SYNDROME" ....ingia You-tube Tafuta "Bobby Rio channel" kafundisha Psychology ya mwanamke and how to handle them.

Man find a medicine to cure a problem not escape it....Just Always. πŸ™Œ
 
Ulikaa nae muda gani kabla hujamuoa?ulimuonyesha nin kama kishawishi cha yeye kukukubalia?,ulimpenda ukamuaproach au alijileta mwenyewe ?kiufupi hakuna ndoa rahis,be calm solve your own for yourself
 
pole sana mkuu...usioe mabinti wa kanda ya ziwa hasa hao weupe au kaskazini kama sio kabila moja utajuta hao watu wanawezanaga wenyewe..hawafungamani na yeyote
 
Imeandikwa mwanamke mchawi hastahili kuishi.

Usipunguze ukali wa maneno,mkeo sio mshirikina bali ni mchawi
 
Fukuza huo uchafu kabla hajakuulia ndani
 
Nikiwa na wa hivyo napiga mpaka anangooka meno anirushie ngumi kiruuu mimi au
 
Shida iko hapa ''Wee jamaa hujamtomb** vizuri'' ndo maana yanatokea hayo, kaoe hao waliozoea kabao kakuku, hutapata hizo shida.
 
Asee usimruhusu huyo mwanamke aje na huyo mtu ukimruhusu umekwisha, akigoma achana nae asee, wanawake wapo wengi
 
ngoja kidogo,huyo mwanamke hana dini? mlifunga ndoa kwenye dini ipi?je mna muda gani kwenye ndoa yenu? wakati wote mlipokuwa nae hukuziona hizo kabla?
mpe msimamo wako,hakuna kuja na mganga na mwambie asije nyumbani abaki kwao mpaka atakapokuwa na adabu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…