Najuta kuoa huyu mke wangu Adelina

chai.gif
 
WAKATI WA URAFIKI NA UCHUMBA, UTAPEWA HESHIMA, UTASKILIZWA, UTAHUDUMIWA, UTAPEWA LUGHA NZURI ZENYE NUKUU ZA VIFUNGU VYA BIBLIA.
UKIISHA OA (UKISHABEBA BOMU), LUGHA NGUMU, UJEURI, KIBURI, DHARAU VYOTE NI KWA AJILI YAKO.

HAO WATU WA KANDA HIYO, ACHA WAOANE WAO KWA WAO.
YESU NA MARIA NA YOSEFU ASEEE.
Kwani kuna mambo ya kanda siku hizi tukio upigwa yeyeto hata uoe wa kanda yako.
 
Kwann ushughulike na nyanya moja iloyooza wakati maelf zipo shambani, wanawake wa siku hizi ujua umuhimu wa ndoa baada ya kuachika. Ukiona mtu umuelewi ishi nae uchumba sugu Ili usiharibu cheti chako. Wanaoishi nao uchumba sugu wanaishi kwa amani kabisa
 
WALE NI UTAMADUNI WAO
Tabia za watu zimebadilika siku hizi wengi shetani mjomba wao,labda upate bahati lakini ni wimbo wa taifa siku hizi.Wanaume wengi wanainama siku hizi hawana amani na ndoa zao wanawake awashikiki,uwe na pesa usiwe nayo moto upo pale pale,thus Wanashinda bar mda mwingi kuliko kushinda home kituo cha police,wanakimbia makelele ya wake zao.
 
Wakuu,

Kweli nimeamini hawa viumbe ni nyoka aisee, nimekoma kuoa hawa watu watu kutoka kanda ile ya Kaskazini, hawa wanawake siyo poa kabisa najuta kabisa, dah!

Huyu mwanamke anajikuta ni 'feminist' sana, jeuri, kiburi na dharau juu, sijui kwanini ananifanyia hivi, sijui anajua nampenda sana au sijajua kwanini?

Iko hivi wakuu, jana nimemfuma huyu mwanamke akiwasiliana na mwanaume mwingine simtaji jina, ila nahisi yupo humu humu JF kwa jina jina simtaji.

Huyu jamaa wa humu Jamii Forums anajua na mke wangu toka siku ya kwanza na aliniambia ameshawahi kuwa mtu wake, siku hizo kipindi wanasoma chuo, ila nikapotezea kabisa.

Sasa jamaaa baada ya kuona namsifia humu JF mshikaji akampandia hewani wakaanza kuchati naye sana na nahisi mshikaji amepiga kiboga tayari kwa sababu nimeona kuna ujumbe mmoja anasema, "Ahsante kwa kuniridhisha kuliko mume wangu", dah!

Na huyu mke wangu kumbe ana mimba ya miezi mitatu, kwa maana 'gestation age' ya 12, aisee sasa sijajua hii mimba ya yangu au ya mshikaji mwingine. Aisee jamani ako na sonona hapa na wala sijielewi nifanyeje hapa.

Hawa wanawake wa kichaga sijui wana shida gani, daaah wadau hapa nifanyeje? Na nimempigia mama yake na yeye anaongea utumbo tu. Kuna comment ya mshikaji alicomment niweke akiba ya maneno, hapo nimekumbuka ni kweli hivi viumbe siyo poa kumbe aisee.

Wadau rejeeni kisa cha Samson na Delilah na pia kisa cha Adam na Eva, aloo nyie viumbe Mungu anawaona, kumbukeni kuna maisha baada ya kufa aisee. Nawashauri vijana kabla hamjaoa jaribu kumchunguza huyo mke wako kabla haujafikia hatua ya kumuoa.

Wadau ako na sonona hapa nimeenda kazini tu ila akili yangu haipo sawa, nitaenda kazini kuomba ruhusa kama ya wiki mbili nitadanganya naumwa ili niende nikapumzike fukwe za Ibiza au Hotel Verde zanzibar.

Daaah! 'One man down' aisee.
Usisahau kumchukua bibie Numbisa mkapumzike wote huko cabo delgado beach
 
Hii ni Chai alafu mpishi jinsi hajui kuandaa chai nzuri kachanganya na viungo vya pilau
 
Kama ni kweli na umethibitisha,piga chini faster kamata Jembe lingine Maisha yaendelee achaa kulialia!!
 
Back
Top Bottom