Najuta kumtania mke wangu

Kwanza unapokua na mke wako usiruhusu kabisa mazungumzo yanayohusu x wenu maana hayo mazungumzo hua yanaudhi sana ...

Usirudie kosa
 
Sa si ana moyo na unamkumbushia....naye akamaliza....haijalishi kama amekosea au hajakosea ishu ni imekula kwako
 
pole sana bro mara nyingi ukweli huwa unapatikana kwenye utani na kwenye pombe.kumiliki kibamia sio dhambi dhambi ni kutokujua kukitumia
 
Huna budi kuvumilia maana kama uchokozi umeanza
Mwenyewe alichofanya mkeo ni kitio kitu
 
Jamani pole sana kumbe we ni kibamia halafu unamletea lugha za ajabu mkeo
 
Hahaha mkuu, kumbe uliyataka mwenyewe, wanawake wana mameno mengi sana ya kutuhuzunisha. Huwa wanasubili tuanze tu ili wachague yapi kidogo yana busara ila kwetu ni uchungu hahaha
 
Amekujibu sawa na upumbavu wako
 
huyo sio mke, ni hawara. na kama mke, bado unakaa naye wa nini kama ameshasema bichwa la chini la x wake lilikuwa kubwa na lilikua linamkuna kwa utamu kuliko kibichwa cha kwako ambacho hakimfikii x wake? hapo mzee humfikishi mkeo. ameshafikisha ujumbe hivyo, una kibamia manake.
 
katika mahusiano yote niliyopita hakuna kitu ambacho wanawake wanachukia kama kutukanwa hata kwa utani!!!!!
Ni Bora umwache Mwanamke bila kumpiga au kumtusi kuliko kumgusa wakati huna Moyo wa kumwacha, sasa wewe umemchokoza na yeye kakoleza! Meza hivyohivyo.
Ni Bora umpige mwanamke lakini siyo kumtukana,
Neno lolote hata kama unafanya utani huwa linaishi ndani ya kifua cha mwanamke mpaka anakufa.
Jaribu kumwambia Mjinga au fala, kuna siku atakukumbusha.
Alwys Msifu Mwanamke na kumbembeleza hasa mkeo
 
Na ukome, kwanini umtaje ex wake kiutani na weqe huwezi kupokea jibu la kiutani.

Rudi ndani kamalizie maongezi juu ya mtoto.

Inaelekea ex wake bado anakusumbua, je unaonaga bado anakuzidi yapi kimaisha? Siongelei mapenzi
ungesema, kwanini anamtaja ex wake wakati anajua mkewe bado anamkumbuka na kumpenda ex wake, na anakumbuka kichwa chake cha chili kilivyokuwa kikubwa na kilikuwa kinamkuna vizuri kuliko yeye anavyofanya? mpeni pole.
 
Utani utani kwa mke na mume hautakiwi,ona sasa umejibiwa kwa madharau na mkeo!!Huenda hata hakua na maana hiyo ila lengo lake lilikua ni kukukera tu na kwa hilo 'ameshinda.'Achana na utani kua serious mkuu ili kulinda heshima yako kama baba wa familia
 
Umerikoroga,usiogope kulinywa.Usinge mkumbusha hbr za mtu wake wa zamani asingekujib hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…