Najuta kumtania mke wangu

And please be wise enough to go and ask for forgiveness to your wife and don't repeat that childish behaviour again...if you will act like a mature person your wife will surely be the same... Wacheni izo mambo za past and build what you have atm
 
WANA JF COME ON.. MNAAMINI HIZI STORY ZA KUTUNGA??? HII NI COMEDY TU Kichekesho. KUWENI NA AKILI YA KUJUA MAZINGIRA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hicho ndicho ulikuwa unakitaka uliyekamilika hata kulisikia jina lake tu pressure inapanda wewe unamlinganisha na ex wake! Chakula tayari mama Johnson kaivisha maakuli wahi kitapoa , kama nakuona vile!
 
Mke: Hahaaaaa kama lake la chini vile pia lilikuwa kubwa na tamu...!!!


Hapo kazungumzia wakati uliyopita.. Kwa maana sasa hivi ni kibamia au?
 
Wala usimpige. Rudi kwa kunyata umtokee kwa nyuma. Ongelea kwenye sikio lake huku ukihema kwa pumzi ndefu. Mwambie jinsi unavyompenda here kama moyo wake bado kauacha kwa Joni.
 

USIMKAWIZE ONGEZA KANYAMOO IFIKE INCH 7

ILA NAWEWE JAMAA UTAKUWA TU POYOYO UNAMJUWA HADI ALIEKUWA ANAMKUNJA WAKATI WA UJANA WAKE ?
 
Wewe naye nini kinakuwaisha nyumbani saa hizi?
Wenzio bado tunapata mbili tatu we ushawahi nyumbani kutaniana na wanawake!!
Wacha upate.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanaume saa 10 uko nyumbani, anatafuta nn!!?
Wacha ayaone
 
ila wife wake ndo kaweka utani wa kijinga. mana huwenda huyo johnson hata hakuwa na bichwa kubwa
 
And please be wise enough to go and ask for forgiveness to your wife and don't repeat that childish behaviour again...if you will act like a mature person your wife will surely be the same... Wacheni izo mambo za past and build what you have atm
Naomba uwe mwalimu wangu wa kiingereza[emoji12]
 
utoto
 
Pole mkuu


Ungejua na wew ungesifia k ya ex wako on the spot,,, ili uone vita ya syria live nyumbani kwako
 
Jibu la mkeo swadakta kabisa. Grow up!
 
Ha ha ha 0le wake aletae makwazo
 
Umeyatafuta mwenyewe......

Kumjua ex wake haina maana umtajie tajie.....

Kiranga chako komo..... (umesababisha mpaka mkeo akumbuke dudu la ex wake....)

Ukimpoga atakupeleka polisi shauri yako...kesho utakuja na uzi mwingine... (inga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…