Najuta kumtania mke wangu

Najuta kumtania mke wangu

MorTimer

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
1,195
Reaction score
968
Habari wakuu,

Kama kichwa kinavyojieleza hapo.

Hapa niko nje ya nyumba yangu najiuliza sijui niende bar nikapunguze hasira au nikamshushie huyu mwanamke kipigo naombeni ushauri.

Ilikuwa hivi niko zangu sebuleni nimepumzika baada ya kutoka kwenye mihangaiko yangu, mke wangu yuko jikoni anaandaa msosi kwaajili ya jioni ghafla akaniita na mambo yalikuwa hivi;

Mke: Baba Alson

Mimi: Nambie

Mke: Hivi ni lini uliniambia tutaenda kumnunulia mahitaji ya shule Alson (Ni mwanetu ambae wanakaribia kufungua shule)

Mimi: Acha akili zako za kusahau sahau si tumetoka kuongea juzi tu hapa, ndio maana una bichwa kubwa kama la JOHNSON (huyu Johnson alikuwa ni mpenzi wake wa zamani)

Mke: Hahaaaaa kama lake la chini vile pia lilikuwa kubwa na tamu!

BAADA YA MANENO YAKE HAYO YA MWISHO SIKUMJIBU CHOCHOTE NILITOKA ZANGU NJE TARATIBU HUKU NIKISIKIA BADO KICHEKO CHAKE KWA MBALI.
 
Unaeamua kumfanya mke/mumeo lazima kuwe na lugha ya kuongea nae, ongea na mkeo/mume wako kama unavyoongea na mzazi wako (weka heshima). Utani unaoweza kumtania pia uwe wa heshima, mkiishi bila boundaries ni rahisi kudharauriana na matokeo yake ni majuto.
 
Habari wakuu,kama kichwa kinavyojieleza hapo.Hapa niko nje ya nyumba yangu najiuliza sijui niende bar nikapunguze hasira au nikamshushie huyu mwanamke kipigo naombeni ushauri....!! Ilikuwa hivi niko zangu sebuleni nimepumzika baada ya kutoka kwenye mihangaiko yangu,Mke wangu yuko jikoni anaandaa Msosi kwaajili ya jioni ghafla akaniita na mambo yalikuwa hivi...!!
Mke: Baba Alson

Mimi:Nambie

Mke: Hivi ni lini uliniambia tutaenda kumnunulia mahitaji ya shule Alson (Ni mwanetu ambae wanakaribia kufungua shule)

Mimi: Acha akili zako za kusahau sahau si tumetoka kuongea juzi tu hapa ndio maana una bichwa kubwa kama la JOHNSON (huyu johnson alikuwa ni mpenzi wake wa zamani)

Mke: Hahaaaaa kama lake la chini vile pia lilikuwa kubwa na tamu...!!!

BAADA YA MANENO YAKE HAYO YA MWISHO SIKUMJIBU CHOCHOTE NILITOKA ZANGU NJE TARATIBU HUKU NIKISIKIA BADO KICHEKO CHAKE KWA MBALI....!!!
kama nakuona ulivokua umefula, nahisi hutarudia tena huo utani
 
Hiyo nyumba yenu wote hamna adabu.
Halafu inaonekana mkuu wa nyumba kuna mambo unafeli. Hakuna order

Lakin pia si mbaya duniani kila kitu kuna kuzidiana hata mawingu yapo makubwa na madogo kwa hiyo usjali na utani
 
Na ukome, kwanini umtaje ex wake kiutani na weqe huwezi kupokea jibu la kiutani.

Rudi ndani kamalizie maongezi juu ya mtoto.

Inaelekea ex wake bado anakusumbua, je unaonaga bado anakuzidi yapi kimaisha? Siongelei mapenzi
 
Back
Top Bottom