Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,066
Mhhhh ukishakula mchezo zaidi ya mara 5 ndo utajua unampenda au???
my God! Na we unashabikia kugegedana badala ya kumwambia wasubiriane mpaka ndoa? Loh!
Mhhhh ukishakula mchezo zaidi ya mara 5 ndo utajua unampenda au???
Habari za majukumu wana jf,
kwa mara ya kwanza nimejikuta nikiingia katika jukwaa hili nikiwa
muhanga na majeruhi wa kufa leo au kesho kwa sababu ya mapenzi, ni miaka
2 sasa imepita toka nimfahamu huyu binti anayeninyanyasa(tukiwa shule
kipindi hicho) na katika kipindi cha mwaka mmoja tuliokuwa pamoja shule
tuliishi vizuri ila sii kama wapenz, nilitokea kumpenda sana ila
sikuthubutu kumwambia kutokana na kuhofia kuchanganya hali ya mambo japo
baadaye aligundua. Na katika kipindi cha mwaka mzima tulipoachana baada
ya kumaliza shule tuliendelea kuwasiliana japo kwa mara chache ila
ugonjwa wangu haukuwa umetibika bado kwan kila nilipoisikia sauti yake
mapigo ya moyo wangu yaliongeza kasi lakin pia sikumwambia kuwa
nampenda. Zahama ilianza baada ya kumwambia ukweli kuwa nampenda mwezi 1
uliopita, alinikubalia na akaniambia hilo alilitambua toka mwanzo, cha
ajabu kwangu imekuwa mateso kwan ninapoongea naye kwenye simu najisikia
burudani sana ila simu iki katika tu na aman nayo inatoweka kwangu na
hakuna ninachoweza kufanya kikawa sawa hata kula inakuwa shida, namuwaza
yeye tuu. Natamani kusitisha uhusiano ila nafsi yangu inanambia ni
afadhali mimi nife kuliko kusitisha uhusiano, nashindwa kuelewa kuwa
nampenda au namtaman. Wanajamvi plz, ushauri wenu ni muhimu sana kwangu
kwan najihisi kupungua uzito kwa kuwaza. Ahsanten
Umezama umezama kwenye bahari ya huba wewe kazana tu lkn angalia dont test the depth of river with both legs anza kwanza na mguu mmoja ili iwe rahisi kujikwamua usiondoke na mafuriko
Mi naona ni mijemko na ugeni wa gemu tuu...ila ukilizoea gemu linavyokwenda atakuwa akikupigia simu sometimes unaminya ka-button ka "silence"
This is your private business. Hayatuhusu.
This is your private business. Hayatuhusu.
Huyu siku akimega hata kazini au kwenye shughuri zake atakuwa haendi ....Duh mie nikahis kakupa ngoma kumbe ishu ya infatuation tu!! Usijal ukizowea hayo makitu hyo hali itakwisha
Hicho ni kitu gani bi dada?
google mkuu!!!