Najuta kumfahamu huyu binti

Najuta kumfahamu huyu binti

How old are u ???



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ahsanten sana dugu zangu wanajf kwa ushauri wenu, naamini kwa ushauri mlionipa utanisaidia katika wakati mgumu ninaopitia kwan akili zangu zilishaanza elekea kushindwa kuhimili hali hii maana nimekuwa nikitumia hata dawa wati mwingine ili nipate usingizi, nilitamani kumwambia juu ya hisia nilizonazo kwake lakini nikahofia angeweza kuuchana chana zaidi moyo wangu. Kweli nimekuwa na wakati mgumu sana na huyu mwanamke na sijui ni kwanini iwe ni yeye tuu
 
Sina hata ushauri kwake kaka Kaizer, manake mie mwenyewe nammiss Paw hadi naskia kufa kufa. Hapa kalala pembeni yangu na kanikumbatia anakoroma lakini bado nammiss. Huu ugonjwa wa akili nahisi. Huyu jamaa atakufa tu, sioni kama nna msaada manake na mie mgonjwa mwenzie.
cha kufanya nenda kwa wazaziw ake tangaza nia mpose, kisha oa jumla uwe naye ndani 24/7 hapo kiu yako itakuwa imeisha

Kila la heri
King'asti hebu kidooogo punguza "unoko" mshauri kijana mwenzio
 
Last edited by a moderator:
Hehehe' mwalimu mie sijasoma mwereni. Nimehisi jamaa kasoma mwereni manake nahisi watoto wa mwereni praimare ndo wanakuwaga this innocent,lol
king'ast usiniambie ulisoma mwereni lol! nakumbuka vipofu wa pale walikuwa na akili sana.

mie nilisoma kibo lol!

Kamanda, mbona mie siponi jamani. Moyo unaenda mbio na stopper siioni. Au umri wangu umestuck? Nakonda kwa kummiss mtu niko nae, aaagh! (ole wako urushe madongo!):majani7::majani7:, then :A S 100:
mkuu kanaisha na umri tu
 
Kamanda, mbona mie siponi jamani. Moyo unaenda mbio na stopper siioni. Au umri wangu umestuck? Nakonda kwa kummiss mtu niko nae, aaagh! (ole wako urushe madongo!):majani7::majani7:, then :A S 100:

ukiona huponi ujue umeendekeza hako kaugonjwa....

Halafu acha cha chunya aisee, rudi cha arusha... cha chunya mtu unakua unajisikia kama uko bermuda vile
 
achana na huyo mwanamke,utateseka sana kwenye ndoa,risk ya kupenda kwako ni kubwa mno
 
achana na huyo mwanamke,utateseka sana kwenye ndoa,risk ya kupenda kwako ni kubwa mno

Nashukuru kwa ushaur wako mkuu, ila moyo wangu unashindwa kabisa kufanya hivyo bila sababu ya msingi japo nimejaribu mara nyingi kusitisha uhusiano. Tatizo ni kwamba, kila ninapojaribu kumtibua ili nijiridhishe kumwacha, anakuwa mdogo na kuridhia kila ninachomcommand kufanya.
 
unampenda au unatamani ndo swali ambalo tunatakiwa kukuuliza wewe syo wewe kutuuliza ss vijana mnaanza uhusiano mtusumbua xana
 
Habari za majukumu wana jf, kwa mara ya kwanza nimejikuta nikiingia katika jukwaa hili nikiwa muhanga na majeruhi wa kufa leo au kesho kwa sababu ya mapenzi, ni miaka 2 sasa imepita toka nimfahamu huyu binti anayeninyanyasa(tukiwa shule kipindi hicho) na katika kipindi cha mwaka mmoja tuliokuwa pamoja shule tuliishi vizuri ila sii kama wapenz, nilitokea kumpenda sana ila sikuthubutu kumwambia kutokana na kuhofia kuchanganya hali ya mambo japo baadaye aligundua. Na katika kipindi cha mwaka mzima tulipoachana baada ya kumaliza shule tuliendelea kuwasiliana japo kwa mara chache ila ugonjwa wangu haukuwa umetibika bado kwan kila nilipoisikia sauti yake mapigo ya moyo wangu yaliongeza kasi lakin pia sikumwambia kuwa nampenda. Zahama ilianza baada ya kumwambia ukweli kuwa nampenda mwezi 1 uliopita, alinikubalia na akaniambia hilo alilitambua toka mwanzo, cha ajabu kwangu imekuwa mateso kwan ninapoongea naye kwenye simu najisikia burudani sana ila simu iki katika tu na aman nayo inatoweka kwangu na hakuna ninachoweza kufanya kikawa sawa hata kula inakuwa shida, namuwaza yeye tuu. Natamani kusitisha uhusiano ila nafsi yangu inanambia ni afadhali mimi nife kuliko kusitisha uhusiano, nashindwa kuelewa kuwa nampenda au namtaman. Wanajamvi plz, ushauri wenu ni muhimu sana kwangu kwan najihisi kupungua uzito kwa kuwaza. Ahsanten
Dogo wewe muhuni sana, unatuweka roho juu nikadhani ngoma kumba mahaba?! Dah! Kwa kuwa unampenda ujiandaye kutendwa pia ili hayo mapenzi yapungue angalau coz najua miaka yote hiyo hakuwa peke yake though inauma lakini poke hiyo, ukilitambua utapunguza mahaba!
 
Mi naona ni mijemko na ugeni wa gemu tuu...ila ukilizoea gemu linavyokwenda atakuwa akikupigia simu sometimes unaminya ka-button ka "silence"

ndio tabia zako nini mkuu kero zikizidi?
 
Back
Top Bottom