Najuta kumfahamu huyu binti

Najuta kumfahamu huyu binti

Duh mie nikahis kakupa ngoma kumbe ishu ya infatuation tu!! Usijal ukizowea hayo makitu hyo hali itakwisha

LoL!!
Una akili kama yangu!! Shigongo wakat inaanza nikajua ase jamaa kalambishwa ngoma ase
 
An idol mind is the devil's workshop wakiume ukiwa buzy or commited to somethings u can real manage it.
 
haya ndo matatizo ya kuingia kwa hii mambo ukiwa mtu mzima
ina maana wewe hata michozo ya baba na mama hukufanya wakati ukiw mtoto
angalia unaleta mambo ya kitoto huku we mwanaume ati? wacha mambo jambo things sifa ya mwanaume ni kuwa strong with life changes,,, utakua ***** usipoangalia,, kwanza unaonesha kiwango cha chini kuwa timid, lishindwa kumwambia hadi manzi anakugundua, hafu ndo unajamropokea sasa si unaona kwanza atachukulia advantage ya weakness yako? funguka macho usijelishwa limbwata mdogo angu,, haya mambo yanaenda kwa step,, be smart life goes
mkuu, usimrahumu kijana huyo wa dot.com, kwani watoto wa siku hizi ni watoto wa mageti hawako kama sisi wa zamani ambao tulikuwa kama kuku wa kienyeji, kiguu na njia kwa majirani na kucheza komborera, mdako, na hiyo michezo nya baba na mama. kwa hivyo sio kosa lake , inawezekana na shule kapita shule zetu za siku hizi za " watakatifu" saints etc etc , hivyo no exposure ya mambo ya kikubwa , pia nalo ni jambo zuri kwa vijana kutojihususha na mapenzi na masomo , pia ni hatari kwani siku hizi kuna magonjwa ya hatari kama ukimwi
 
mkuu, usimrahumu kijana huyo wa dot.com, kwani watoto wa siku hizi ni watoto wa mageti hawako kama sisi wa zamani ambao tulikuwa kama kuku wa kienyeji, kiguu na njia kwa majirani na kucheza komborera, mdako, na hiyo michezo nya baba na mama. kwa hivyo sio kosa lake , inawezekana na shule kapita shule zetu za siku hizi za " watakatifu" saints etc etc , hivyo no exposure ya mambo ya kikubwa , pia nalo ni jambo zuri kwa vijana kutojihususha na mapenzi na masomo , pia ni hatari kwani siku hizi kuna magonjwa ya hatari kama ukimwi


ni kweli mapenzi, magonjwa ila swala huyo dogo alikua sijui antsocial sijui yuko phobic sijamwelewa kabisa
ila anyway mwache naona sasa anapata immunity,, kinga ya kutosha
akitoka kwa hili,, akiweza kupata jibu la hili atakua amepiga hatua ya kutosha
 
my God! Na we unashabikia kugegedana badala ya kumwambia wasubiriane mpaka ndoa? Loh!

yeye asubiri mpaka ndoa ila ajue bi dada anagegedwa.
Unataka kumshauri mpaka ndoa we huyu si atakufa???
 
huo muda huo uliojiwekea na ye kauridhia maana ukishindwa kubalance hapa utamsikia hewani tu
Ndiyo, tumekubaliana mkuu, na sifikirii kabisa kumjua kabla hatujaoana
 
Mwajua hali kiafya???basi mtoto kalilia wembe mpe, akijikata......??love is pain but we can't live without love. Love is complement of life.life is love. So bro... Bofya kidude!usikonde wala usipime lile bahari bila shaka utaogelea japo anza na mguu mmoja usikapite na mafuriko.........dawa y jipu ni?
 
Uchanga wa malavdav huo utazoea tu, lakin umemchunguza km nae hana boy? Acje akazid kukuumiza maana mademu wa cku iz nadra sana kukutolea nje hata kama anae ampendae.
 
Kuna tofauti kati ya KUPENDA na KUHEMKWA! Hii ya pili life span yake ni fupi kwasababu mhemkwaji hana reasoning kwa kila jambo.

Nisizunguke sana, mkuu umehemkwa na huko sio kupenda, hapo lazima ufe au hayo mapenzi lazima yafe!
 
Habari za majukumu wana jf, kwa mara ya kwanza nimejikuta nikiingia katika jukwaa hili nikiwa muhanga na majeruhi wa kufa leo au kesho kwa sababu ya mapenzi, ni miaka 2 sasa imepita toka nimfahamu huyu binti anayeninyanyasa(tukiwa shule kipindi hicho) na katika kipindi cha mwaka mmoja tuliokuwa pamoja shule tuliishi vizuri ila sii kama wapenz, nilitokea kumpenda sana ila sikuthubutu kumwambia kutokana na kuhofia kuchanganya hali ya mambo japo baadaye aligundua. Na katika kipindi cha mwaka mzima tulipoachana baada ya kumaliza shule tuliendelea kuwasiliana japo kwa mara chache ila ugonjwa wangu haukuwa umetibika bado kwan kila nilipoisikia sauti yake mapigo ya moyo wangu yaliongeza kasi lakin pia sikumwambia kuwa nampenda. Zahama ilianza baada ya kumwambia ukweli kuwa nampenda mwezi 1 uliopita, alinikubalia na akaniambia hilo alilitambua toka mwanzo, cha ajabu kwangu imekuwa mateso kwan ninapoongea naye kwenye simu najisikia burudani sana ila simu iki katika tu na aman nayo inatoweka kwangu na hakuna ninachoweza kufanya kikawa sawa hata kula inakuwa shida, namuwaza yeye tuu. Natamani kusitisha uhusiano ila nafsi yangu inanambia ni afadhali mimi nife kuliko kusitisha uhusiano, nashindwa kuelewa kuwa nampenda au namtaman. Wanajamvi plz, ushauri wenu ni muhimu sana kwangu kwan najihisi kupungua uzito kwa kuwaza. Ahsanten

Yalaaaaaaaaaa.....:doh:

haka kaugonjwa nilikapata 24 year ago:doh:
 
hiyo tunaita ni green love,na wenye kasi kama wewe ukishamzoea basi utaanza kumwona wa nini?Mungu akutie nguvu uwe na myo huohuo
 
Jitahidi kuzuia hiyo hali yako, sometimes hawa wenzetu wakijua wanapendwa sana inakuwa umempa njia rahisi ya kukutesa.
 
Back
Top Bottom