THE ONETATUS
Member
- Oct 2, 2012
- 29
- 9
huko kwingine mbwembwe tu samsung galaxy note II GT N7100 ile ni sayari nyingine ...nahc kama napata raha na mrembo ndani ya swimming pool
Ndio unazimaje coz kwa kweli hili suala la charge ni balaa_
Dah..!! minatumia kitu cha Tecno N7, ikofasta kwa net na inakaa na jiwe kwa muda mrefu.
kweli mkuu
kweli ukiingia huku ngumu kutoka
Kumbe ulikuwa Duniani wenzio tuko sayari ya
Mars yaani unagusa tu mambo tele.
Mimi nipo mweupe kwenye mambo ya simu, ila Camera inahusianaje na OS? ... halafu, speed ya internet vilevile inahusiana vipi na OS?Wakuu mwanzoni nilikuwa mgumu sana kuhama nokia na symbian yao.....
Majuzi nimenunua samsung galaxy ace 2, kila kitu ni burudan..kuanzia application ya jf, camera na speed ya internet
Tatizo hizikai na chaji
Mimi nipo mweupe kwenye mambo ya simu, ila Camera inahusianaje na OS? ... halafu, speed ya internet vilevile inahusiana vipi na OS?
haha wakikusikia wenyewe wanaotumia techno,ila inategemea tecno ipi by the wayTecno ni android au mfano wa android?
wakuu mimi nimetumiwa galaxy 2 ila lugha ya kispania...sielewi chochote hapo
ila pia ina kitu kinaitwa MOVISTAR inacho ifanya simu yangu ishindwe kusupport internet setting
naomba msaada.
nimeiona moja posta laki nne tu ila gsm arena haipo napenda kuichambua simu kabla ya kuitimia naona mnaipambia lkn nashindwa pa kudhibitisha
huko kwingine mbwembwe tu samsung galaxy note II GT N7100 ile ni sayari nyingine ...nahc kama napata raha na mrembo ndani ya swimming pool
haha wakikusikia wenyewe wanaotumia techno,ila inategemea tecno ipi by the way
Mwana kuna kitu cha iPhone kinatumia IOS ni makini haswa mkuu
Mwana kuna kitu cha iPhone kinatumia IOS ni makini haswa mkuu
Techno ni techno tu hata kama itawekwa Jelly bean hiyo n7 ina resolution ndogo sana so imeifanya screen kupauka vibaya mno