La Princesa
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 1,056
- 1,189
Mkuu asante sanaKUNA WATU WANAPITIA CHANGAMOTO WAKUU NA HUYU NI MMOJA WA WATU HAO, POLE SANA DADANGU KWA MKASA UNAOPITIA
Njoo PM dada May be you are two words away to get out of that messMkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu
Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..
Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye nini😭😭kuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa
Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO
PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
Njoo PM dada May be you are two words away to get out of that mess
My dear nilishakaa naye tukaongea na tukamaliza kwa kumshukuru Mungu (Maombi)ila huwezi amini ni six months toka tuongee na yupo kimya jamani..i will try tena leo kama akija na mood nzuri..AsantePole sana, kaa ongea naye na umkumbushe alichokuaidi labda amesahau, ukiwa kimya itakula kwako, anachokufanyia sio kwamba anajisahau, anakijua na malengo anayo ameyapangilia, wanaume hawa tuwaheshimu ila yakizidi unaruka naye atakuelewa tu
Maamuzi kama yapi mkuu?mikakati yangu nilishampa sana mbingu zinashuhudia hiliSioni tatizo apo.ni suala LA kumuweka mumeo wazi mikakati yote na maamuzi yako.
That's not a good idea, My advice would have been preceded by some questions which of course are personal, by the way goodluck on what you're seekingNo bro,thank you i would appreciate to read your advise here on public
Yaan sa zingine ukisubiria mood miaka itapita unakutana na kina chale tu best.....kuwa na msimamo kiasi atakuelewaMy dear nilishakaa naye tukaongea na tukamaliza kwa kumshukuru Mungu (Maombi)ila huwezi amini ni six months toka tuongee na yupo kimya jamani..i will try tena leo kama akija na mood nzuri..Asante
Asante love, nitaleta mrejeshoYaan sa zingine ukisubiria mood miaka itapita unakutana na kina chale tu best.....kuwa na msimamo kiasi atakuelewa