NAJUTA kila nifanyapo ngono

NAJUTA kila nifanyapo ngono

Hujambo Bujibuji? Mpe Nazjaz shule kutatua tatizo lake achana na sie. Wewe si ulijifanya ni professor wa nanihii? Toa shule sasa!
Usintake kunifananisha na Profesa Maji Marefu bureeee, mi ugomvi na familia yenu sitaki, nimeokoka siku hizi, niko Busy na fellowship kwa Mwinjilisisti Zion Daughter
 
Last edited by a moderator:
Fanya uamuzi sahihi acha ngono hamia kwenye mapenzi
 
Siwezi kumfukuzia maana sisi tunaomba pamoja nae.
mwaJ kwanini kila siku mnaanguka wakati wa maombi na kuanza kuongea Kiarabu? Wenzenu tumefunga na tunafanya maombi ya siri ili hiyo misauti inayotoka ndani mwenu na kusema kiti yangu kiti yangu iwatoke kabisa
 
Last edited by a moderator:
Hujambo Bujibuji? Mpe Nazjaz shule kutatua tatizo lake achana na sie. Wewe si ulijifanya ni professor wa nanihii? Toa shule sasa!

My wife mara hii tu umeshasahau kwamba Bujibuji alikabidhiwa kwa Nazjaz wakati ule anaweweseka na Nazjaz alijitolea kumpeleka matibabuni Malawi!!??

Kwahiyo hii ni kuthibitisha tu kwamba Bujibuji mambo yake nehi nehi.:A S shade::A S shade::A S shade:
 
Last edited by a moderator:
Mwita Maranya hivi ni wewe unaongea au ndiyo kiti wako Subiani, Makata na Maimuna washa panda?
My wife mara hii tu umeshasahau kwamba Bujibuji alikabidhiwa kwa Nazjaz wakati ule anaweweseka na Nazjaz alijitolea kumpeleka matibabuni Malawi!!??

Kwahiyo hii ni kuthibitisha tu kwamba Bujibuji mambo yake nehi nehi.:A S shade::A S shade::A S shade:
 
Last edited by a moderator:
mwaJ kwanini kila siku mnaanguka wakati wa maombi na kuanza kuongea Kiarabu? Wenzenu tumefunga na tunafanya maombi ya siri ili hiyo misauti inayotoka ndani mwenu na kusema kiti yangu kiti yangu iwatoke kabisa
Bujibuji nimekwishagundua ni kwanini unafanya bidii ya kuibadilisha agenda iliyoko mezani.
Nazjaz alijitolea kukupeleka ng'ambo ya malawi ili kupata matibabu baada ya kupigwa chini na mama watoto wangu mwaJ.

Ni ajabu kwamba baada ya mwezi mmoja Nazjaz amekuja tena hapa kulalamika kwamba hafikishwi mwisho wa safari. Hahahaha aisee unahitaji maombi kwa kweli jamaa yangu...
 
Last edited by a moderator:
You are very good in dots connecting
Bujibuji nimekwishagundua ni kwanini unafanya bidii ya kuibadilisha agenda iliyoko mezani.
Nazjaz alijitolea kukupeleka ng'ambo ya malawi ili kupata matibabu baada ya kupigwa chini na mama watoto wangu mwaJ.

Ni ajabu kwamba baada ya mwezi mmoja Nazjaz amekuja tena hapa kulalamika kwamba hafikishwi mwisho wa safari. Hahahaha aisee unahitaji maombi kwa kweli jamaa yangu...
 
mwaJ kwanini kila siku mnaanguka wakati wa maombi na kuanza kuongea Kiarabu? Wenzenu tumefunga na tunafanya maombi ya siri ili hiyo misauti inayotoka ndani mwenu na kusema kiti yangu kiti yangu iwatoke kabisa

Siku hizi hatusemi kiti, tunasema kochi langu kochi langu. Inabidi uongeze maombi.
 
Duhhhhh

[h=3]Watumishi wengi wa Mungu kama vile waalimu, wahubiri, waombaji husikika wakiyataja MAJINA ya Mapepo, ambayo hayakuandikwa katika Biblia, na kazi zao mbali mbali. Lakini sisi kama wana wa Mungu tunajua majina machache sana ya malaika wa Ufalme wa Mungu, mfano Mikaeli, Gabrieli:[/h][h=3]1. Inakuwaje wana wa Mungu wanafahamu majina ya malaika wachache sana kwenye ufalme Nuru huku wakiwa na orodha ndefu ya majina ya majini/mapepo walio katika ufalme wa Giza, yaani upande wa adui?[/h][h=3]2. Wanaoyataja majina hayo ya mapepo/majini Elimu hiyo wameipata wapi?[/h][h=3]3. Je, Ni sahihi kutafuta majina ya majini/mapepo na ya malaika wa Nuru toka chanzo chochote?[/h]
 
Back
Top Bottom