NAJUTA kila nifanyapo ngono

NAJUTA kila nifanyapo ngono

Bujibuji nimekwishagundua ni kwanini unafanya bidii ya kuibadilisha agenda iliyoko mezani.
Nazjaz alijitolea kukupeleka ng'ambo ya malawi ili kupata matibabu baada ya kupigwa chini na mama watoto wangu mwaJ.

Ni ajabu kwamba baada ya mwezi mmoja Nazjaz amekuja tena hapa kulalamika kwamba hafikishwi mwisho wa safari. Hahahaha aisee unahitaji maombi kwa kweli jamaa yangu...
Mwita Maranya, kweli nilijitolea kumpeleka buji India akakataa, akasema tumpeleke Malawi.Nikajikusanya mwanamke wa watu, nikamtafutia visa, he...... kufika airport akapotea kwenye mazingira yasiyoeleweka. Huyu inabidi awe anafungwa kamba kila aendapo
 
Last edited by a moderator:
unatakiwa kuwazia kitendo cha ngono kwa muda mrefu kabla ya kufanya cz ushajijengea permanently idear kichwani
 
kuna mambo mengi yanayoweza kuwa yanakusababishia, but unaweza kuwa pia unasikia hukumu ndani yako, maana unajua kuwa unafanya dhambi. sex inaanzia unavyowaza!
 
Back
Top Bottom