NAJUTA kila nifanyapo ngono

NAJUTA kila nifanyapo ngono

Pole Rafiki me nadhan hujampata wa kukuna vizuri siamini kama kuna mwanamke ambaye hafiki kileleni,inawezekana jamaa yako ana papara sana mnapokuwa ktk maandalizi,hakuandai vya kutosha,utampata tu wa kukufikisha na ukaiona dunia nzima umezaliwa pekeyako.tuwasiliane

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Lol mnatongoza humuhumu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pole sana mpendwa kwa tatizo hilo but zingatia ushauri ulioshauriwa hapo juu.
 
king kan na vipi kujilaumu baada ya tendo la ndoa?Yaani huwa najilaumu na kumchukia kabisa huyo niliyelala nae

kuhusu kumchukia mtu inaezekana ni tatizo la kisaikolojia. Labda unijibu kwanza mara ya kwanza kufanya mapenzi ulilazimishwa? Uliumia sana baada ya tendo? Unafanya na watu just for a cause? Hao unaofanya nao unawapenda au ni uko nao for a cause? mwisho kabisa uwa una imagine nini wakati wa mchakato na baada ya hapo huwaza nini?
 
Last edited by a moderator:
hivi ulishawahi kula kuku na manyonya bila kumwandaa,? huwezi pata utamu, sasa mwambie jamaa asidandie kama anagombea gari la mbezi pale posta/ubungo jioni. maandalizi ni muhimu na akijua hivyo tu utakuwa unafika na kupitiliza kilele cha mlima klm. pole ukiona bado krb kwa kozi ya vitendo we ni PM tu.
 

Poleni na kazi, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25, na nimechumbiwa. Tatizo langu ni kwamba sijawahi kujisikia hamu ya kufanya mapenzi na wala huwa sitamani kufanya ngono, lakini huwa napenda kufanya mapenzi japokuwa hamu haipo kabisa na hivyo huwa naumia kwani kufanya mapenzi bila ya kuridhika na wala kusikia raha ni kazi

Wakati mwingine huwa najutia kitendo nilichokifanya yaani najuta kufanya mpenzi, Nifanyeje ili na mimi niweze kufika kileleni kwani wasichana wengine wanasema wanasikia raha sana...Naomba mawazo yenu...

I like dat pic dude
 
king kan na vipi kujilaumu baada ya tendo la ndoa?Yaani huwa najilaumu na kumchukia kabisa huyo niliyelala nae

Natamani niporomoshe maneno but tatizo umeiweka hapa MMU. Kama vipi hebu waombe mods waishushe kule chini nikupe shule ya nguvu...
 
Huyo wa bluu mtata sana.

Ujue nilivosema wamekuchukua Bujibuji kidogo ajitundike na kamba?

Nashangaa anamuonea wivu mke wa Mwita?! Punguza limbwata aisee

Nashindwa jinsi ya kulipunguza maana mganga alishakufa. Mwache tu Bujibuji abaki kuweweseka. Lol!
 
Last edited by a moderator:
heading na content ni tofauti kabisa, unahitaji sala zaidi ya uganga, kwanza utafurahiaje zinaa? aibu kwenu nyote mnaovunja amri ya sita
 
Back
Top Bottom