NAJUTA kila nifanyapo ngono

NAJUTA kila nifanyapo ngono

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,775
Reaction score
9,203

Poleni na kazi, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25, na nimechumbiwa. Tatizo langu ni kwamba sijawahi kujisikia hamu ya kufanya mapenzi na wala huwa sitamani kufanya ngono, lakini huwa napenda kufanya mapenzi japokuwa hamu haipo kabisa na hivyo huwa naumia kwani kufanya mapenzi bila ya kuridhika na wala kusikia raha ni kazi

Wakati mwingine huwa najutia kitendo nilichokifanya yaani najuta kufanya mpenzi, Nifanyeje ili na mimi niweze kufika kileleni kwani wasichana wengine wanasema wanasikia raha sana...Naomba mawazo yenu...
 
king kan na vipi kujilaumu baada ya tendo la ndoa?Yaani huwa najilaumu na kumchukia kabisa huyo niliyelala nae
Kuna posti ya kwa nini wanawake wengi hawafiki kileleni itafute itakusaidia
 
Last edited by a moderator:
Pole dada kwa ufupi tu hili tatizo si la kwako peke yako,tafiti mbalimbalizinaonyesha kuwa wanawake wengi hawafikishwi kileleni(orgasm) sababu kuu ni kwamba aidha 90% kunatokana na wanaume au wao wenyewe(wanawake 10%) na ndo vilevile moja ya sababu ya extramarital status watu wengi kutoka nje ya ndoa-sexual satisfication haswa haswa wanawake !mm ushauri wngu tu kama unaipenda ndoa yako na hupendi matatizo usingekubali kuchumbiwa kwani vijana wamjini siku wakikukamataaaa utajutia...ndo kwanza utaona usichana umekuanza upya......utanyonya hadi shemeji anapoona uchafu!!
Solution ni kwamba kaa na mpenzi wako mdiscuss mjue tatzo nn aidha maandalizi !!yenu pale 18 au ni tatzo la kiafya (mnapaswa muwaone wataalam wa afya-gynaecologist)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mkuu ni pm,nitakupa dawa ya kukufanya uwe unalikumbuka tendo hilo kwa raha utakayoipata
 
Mungu anampango na wewe usione raha ya ku sex ili utulie siku ukiolewa ndiyo utona tamu yake achana na hao...jamaaa yangu mmoja alijaribu kutoka kwenye zizi la kondoo akaenda kwa msichana alipokuwa anajiandaa tu kabla ya kuunza kumega akamaliza msichana akachukia jamaa kumwaga maji ya uzima nje kabla wakati na yeye alikuwa anayasubiri....akaondoa jamaaa aliona aibu hakugusa tena msichana anasubiri kuoa tu na kutulia kundini.........achana na zinaa subiri mmeo aliyeandaliwa......halafu na hiyo picha uliyo attach mmmmnh!
 
jibu moja tu hujampata anaeyejua mapenzi akakufundisha na wewe hujitumi kujua.
 
Naamini wanawake wanaofikaga humo watakuwa na majibu muafaka...
 
Kipenzi hii hali imekuanza lini...?? Nakumbuka kama kipindi cha nyuma ulitaka kusababisha wakware wazipige puchu dadavuzi zao kwa ile thread yako

king kan na vipi kujilaumu baada ya tendo la ndoa?Yaani huwa najilaumu na kumchukia kabisa huyo niliyelala nae
 
labda jamaa unayegegedwa naye moyo hujaridhia kivile...ebu njoo kwangu nikupe mamboz
 
king kan na vipi kujilaumu baada ya tendo la ndoa?Yaani huwa najilaumu na kumchukia kabisa huyo niliyelala nae

Utakuwa una spiritual husband, you need deliverance .
Huwa huotagi unafanya ngono ndotoni na mwanaume mwingine................................?:A S 39:
 
Pole Rafiki me nadhan hujampata wa kukuna vizuri siamini kama kuna mwanamke ambaye hafiki kileleni,inawezekana jamaa yako ana papara sana mnapokuwa ktk maandalizi,hakuandai vya kutosha,utampata tu wa kukufikisha na ukaiona dunia nzima umezaliwa pekeyako.tuwasiliane

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kumbe kuna vibonde humu. Pole dada kwa tatizo hilo. Zingatia ushauri uliopewa hapo juu, utakusaidia sana
 
Huyo hajui kuutumia mwili wako, ndio maana husikii hamu na inakuwa kero. Siku ukimpata mtaalam kuvitumia ipasavyo viungo vyako na undani wako.....mh!!!
 
Back
Top Bottom