Najua wabongo tunapenda shape hii

Najua wabongo tunapenda shape hii

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
Hebu chagua kwanza mi baadae

1379079964349.jpg
 
Hamna kitu hapo,sisi tunapenda mwanamke mwenye nyama hatutaki vimbaumbau
 
Picha ya kushoto huyo mzungu ana hate shape hiyo ila sisi ndo inavutia... kulia anapenda shape hiyo ambapo wabongo mmmh si sana
 
Hamna kitu hapo,sisi tunapenda mwanamke mwenye nyama hatutaki vimbaumbau


Binafsi huwa nashangaa sana, yaani utaona mwanamke bwanyenye (dizaini ya sanamu la michellin) akitembea hapa na pale anahema utafikiri kapanda mlima Kilimanjaro anapapatikiwa na wanaume. Je, ni psychological problem ya mwanamme kupenda mtu asiye na shepu au? Kwanza mtu unajisikiaje kulala ama kufanya mapenzi na mtu asiye na shepu?
 
Me napenda wa kushoto, modal sana sina muzuka nazo kabisa ...
Hips dont lie ndiyo nilikofia palepale +reception
 
Binafsi huwa nashangaa sana, yaani utaona mwanamke bwanyenye (dizaini ya sanamu la michellin) akitembea hapa na pale anahema utafikiri kapanda mlima Kilimanjaro anapapatikiwa na wanaume. Je, ni psychological problem ya mwanamme kupenda mtu asiye na shepu au? Kwanza mtu unajisikiaje kulala ama kufanya mapenzi na mtu asiye na shepu?
Dogo umechelewa sana yale madude yana raha yake usipime..jaribu uone......kwani unapolala ni vimbau mbau vyako unajisikiaje?
 
Binafsi huwa nashangaa sana, yaani utaona mwanamke bwanyenye (dizaini ya sanamu la michellin) akitembea hapa na pale anahema utafikiri kapanda mlima Kilimanjaro anapapatikiwa na wanaume. Je, ni psychological problem ya mwanamme kupenda mtu asiye na shepu au? Kwanza mtu unajisikiaje kulala ama kufanya mapenzi na mtu asiye na shepu?

Hata wanawake pia wanapenda mwanaume mwenye tumbo kubwa,wakifuatana anaonekana anatembea na boss.
 
mbona hiyo shepu ya kushoto ndio mambo yetu wanaume wa kiafrika..wazungu bana eti anapunguza hilo ----!!!!
 
Back
Top Bottom